Msaada na ushauri mabaharia nataka kujitoa chamani ila nashindwa

Msaada na ushauri mabaharia nataka kujitoa chamani ila nashindwa

Mwana-mpelwa

Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
10
Reaction score
53
Kama tittle inavyojieleza naombeni mbinu za kujitoa kwenye chama la wana CHAPUTA, completely, nimejaribu mara kibao kutaka kurudisha kadi ila nashindwa kuna kipindi hapo kati nimekaa mpaka about six months, ila nimejikuta nashawishika kupractice tena.

Please niko serious naomba mawazo ya kujenga, ili niache zoea hili baya coz ni about more than 6 years now Niko CHAPUTA.

PLEASE HELP!!!!
Aksanteni
 
Najua sasa hivi umetoka kupasha kimoja ndio maana nafsi inakusuta, picha za ngono ndio kishawishi nambari one, kama unaziangalia wacha mara moja
 
Tatizo sugu ni picha za ngono,na usijaribu kukaa mwenyewe lazima utakiwasha tu.
 
Kule kuacha ni Nguvu ya Mungu tu.. maana wengine wanalala na dem na vilevile wanajichua kama kawaida..

Yaan Nyeto kuacha ni kazi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me naomba mods wafute uzi zote zinazoonyesha usaliti wa chama kubwa.


Mweka hazina CHAPUTA,
Mbaga Jr.
 
Nyuzi kama hizi zinachafua chama kama unajitoa jitoe kimya kimya sio kukiponda chama sio kusababisha chama kitolewe kashfa

Katiba ibara ya kwanza (1) sura ya pili(2) chaputa haitavumilia upotoshwaji wa chama kwa namna yeyote ile kama kuchafuliwa au kutolewa habar ambazo sio sahihi kuhusu chama

Chaputa makao makuu

P.o.box 2019

Mkuyenge,mkononi posta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We piga punyeto ujinga ukutoke , haya wee hayaa weeee × 2🎶🎶
 
Leo kwenye kikao cha familia nimetaka kuongea nikaskia mjomba anasema "kaa kimya hatuongelei habari za punyeto hapa" mpaka sasa najiuliza hivi hawa wananichukuliaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom