Siku kama ya leo miaka kumi iliyopita niliandika shairi (POEM) flani hivi ambalo lilitokana na uchungu wa mapenzi.
Kama walivyosema watu wa kale, "mtu akipenda si ajabu kuwa mshairi" na mimi...
Wapendwa Taifa la Mungu, Mafrateri hawa (pichani chini ) walitekwa na watu waliokuwa wamejihami kwa silaha walipovamia Seminari kuu ya Mchungaji Mwema (Good Shepherd Seminary) iliyopo Kaduna huko...
Wapendwa habarini za asubuhi!
Kwa uzoefu mdogo nilioupata hapa MMU ni kwamba wanaume ndio wanaoongoza kwa kulalama juu ya wanawake mara ooh wanawake sio watu, mara wanawake na matusi na nyingine...
Hata utemewe mate hata akutukane wewe unaempiga mwanamke usifikirie kua utaingia mbinguni. MKE! toka mwanzo adi mwisho mke hapigwi.. Kuanzia Leo acha kumpiga mke wako na Mungu atakubariki
Sent...
Duh nimekaa na kutafakari juu ya story nilizosikia na ninayoona kwenye ndoa za SIKU HIZI naona ZINANIKATISHA TAMAA KABISA KUOA..!!
1. Ya MABESTE mzee wa ""Baadae Sana"
Huyu msanii alifunga ndoa...
Wakuu Saalam Tunao Enda Kuoa Tuna Kutana Sana Na Haya Mambo
Jamani Naomba Kuuliza Haya Nimajibu au Shopping Ya Vitu
Naje Inaulazima Gani Kuamishia Duka Ukweni Maana Hili Nalo Duka Kbs Na Mtaji...
Majuzi niliwakumbusha wanaume Wenzangu kwenye huu uzi hapa Wanaume wenzangu hakuna tuzo za kugegeda, UKIMWI upo
leo naomba kuongea na wanawake kwani wao ndio chachu ya maambukizi ya magonjwa za...
Hizi style za mizinga zimezoeleka sana mpaka zinachosha kusikiliza.
1. Kuna msiba naomba uniongezee nauli nikazike
2. Mama anaumwa nataka nikamwone
3. Simu yangu imedumbukia kwenye maji nataka...
Wakati nikiwa nimelala pale kitandani nilisikia mlango ukigongwa na sauti iliskika ikiwa inaita kwa chini "huku akiniita jina langu....nifungulie mimi Hamida" nilitoka pale kitandani mbio kuelekea...
Urafiki ni kazi sana, yupo mshikaji wangu mmoja anazunguka kwa marafiki ananitangazia eti natembea na mkewe. Kisa ni kwamba siku moja nilipita nyumbani kwake sikumkuta nikamkuta mkewe...
Hili swala la kuchepuka sisi tunalichukulia tofauti sana na wanawake. Nikigundua mwanamke wangu anachepuka ugomvi wake sio wa kitoto na uhusiano unafia hapo hapo.
Mwanamke anaweza gundua...
Wife ni mtoto pekee kwa mama yake.mama yake ni kijana hivi wa 40+ na alizaa mapema so hajapishana sana na mwanaye.
Issue ni kuwa mama mke ana uzungu uzungu mwingi.hupenda niita my dear son...my...
Nahitaji mwanamke ambae anajielewa wa kuanza nae urafiki hadi kuwa wachumba. Na siku za mbele tuweze kuwa wanandoa
Sifa zangu
Ni muislamu
Umri wangu 30
Ninaishi single
Sina mtoto
Sifa za...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,
Umekuwa ni utaratibu wangu wa mda mrefu kidogo kila nikimaliza kufanya mapenzi na mwanamke huwa siogi kabisa...
Wiki iliyopita nilialikwa kwenye harusi ya rafiki yangu. Ameolelwa na mzungu na ilibidi Sheikh aitwe mzungu amkane Yesu kwanza.
Tulipika pilau chai ya viungo, maandazi, vitumbua visheti. Bwana...
Nakumbuka kipindi hicho nilikuwa nasoma sekondari fulani hivi jijini Dar es salaam. Nilitokea kumuelewa binti fulani hivi wa kichaga.
Asikuambie mtu huyu binti nilimpenda kuzidi navyojipenda...
Habari
Ni kijana wa miaka 27
Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na...
Wakuu,
Nliamua kufanya uchunguzi, tena wa kina kwa kipindi cha mvua na jua. Nikagundua wanawake wenye matege watamu sana wengi wao hawajijui kama ni watamu. Uke wao unatoa ushirikiano...
Leo baada ya kumaliza mlo wa mchana nikawa nimekaa napunga upepo kabda ya kurudi tena kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa hili changa. Akapita mwanamke mmoja aliyefanana sana na mmoja ya...