Msaada wenu unahitajika ndugu zanguni. Hali hii inaleta Ukakasi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,347
11,446
Wife ni mtoto pekee kwa mama yake.mama yake ni kijana hivi wa 40+ na alizaa mapema so hajapishana sana na mwanaye.

Issue ni kuwa mama mke ana uzungu uzungu mwingi.hupenda niita my dear son...my handsome son in law n.k

Sometime tunatoka naye kwenda kula something choma...na kupiga maji.anapenda mitoko n.k sasa jumamosi hii nlitoka naye akalewa sana nikawa namrudisha kwake.nmemshika akaniegamia na kunikiss.

Nlijua pombe tu.lakini jumapili kanitafuta tena nimsindikize hosp.nikamwambia bint yake twende wote akanambia amechoka nimpeleke mama.

Tumeenda hosp wanamwambia kuwa umekuja na mumeo anacheka tu hakanushi.amepima malaria akatania kuwa anataka apime na HIV nurse akamwambia mpime na partner wako akanicheck akanambia haya baby njoo.

Kwa aibu nikaenda naye tukapima.na majibu akaomba nimchukulie tu mimi.nikacheck na yangu nikakuta fresh.sasa napata mgagaiko wa moyo huyu mama mkwe ni wazi ananipenda.

But ntafanyaje maana mtoto wake anachukulia kuwa mama yake ana mambo ya kitasha.but mi naona kama ana vuka mipaka. Je nifanye nini mabaharia?
 
Huyo mama wa Mkeo ni Kabila gani?

acha kabisa huo ubazazi wako....hivi unashindwa kabisa kujiheshimu broooo.....mama mkwe kabisa anakukiss unakuja kuomba ushauri hapa....humtendei haki mkeo na wala humuheshimu...ndoa yako iko pabaya usipochukua hatua.....mama mkwe ni mama yako kabisa....(kikanuni)....
 
Hapa ni sawa na mtu njaa inakubamiza halafu boga limeiva tayari kwa kuliwa, au kiazi kiko tayari kuliwa, halafu unauliza watu eti "nifanyeje jamani nina njaa na boga hili hapa limeiva! Huna njaa wewe
Huo mfano wako sio hahahaha
 
Back
Top Bottom