From my files: Mbwembwe, raha na manjonjo ya kitandani

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
10,561
19,056
Leo baada ya kumaliza mlo wa mchana nikawa nimekaa napunga upepo kabda ya kurudi tena kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa hili changa. Akapita mwanamke mmoja aliyefanana sana na mmoja ya wapenzi wangu wa zamani. Amemfanana kila kitu, kuanzia umbo, sura, mwendo hadi rangi ila sauti tu ndio sikubahatika kuisikia.

Ikanijia kumbukumbu yoote kuhusu mapenzi yetu na aliyekua sweetie wangu Mariana. Ikaja kumbukumbu hasa ya kwenye 6*6. Niliwaza mengi ila mija la kuvutia hadi nikaandika kisa hiki ni kwamba; Ilianza kama utani tu tukiwa katikati ya shughuli na baada ya kupewa manjonjo ya kufa mtu nikajikuta tusi limenitoka tu, mtoto anajua. Baada ya hapo akaniambia "don't stop pls" endelea kunitukana.

Nilidhani nimemkera lakini aliendelea kusisitiza nimtukane huku akijituma kupita kiasi. Nikaona isiwe tabu nikaanza kufungulia matusi ya nguoni mazito mazito na yeye akawa anazidi kupandisha mzuka mpaka alipofika climax. Ikawa sasa ndiyo utaratibu wetu; game ikikolea lazima nimvurumishie matusi ya kila aina na ilikua ni very big turn on kwake, na mimi sikuwahi kumuuliza kwanini anapenda hivyo maana najua kila mtu ana namna yake ya intimacy and ecstasy. Pengine mwanzo nilikua sijaigundua na yeye hakuwahi kuniambia before.

Ni mwaka wa sita sasa toka nilipokutana nae kwa mara ya mwisho Mlimani city akiwa na familia yake na baada ya salam na mazungumzo mafupi wakati tunaagana akanishika mkono wangu akauminya kwa nguvu kisha akaninong'oneza 'Ses unipigie simu unitukane plz'. Nilitabasamu and to tell the truth, I was aroused kwa statement yake hiyo but there was nothing I could do.

Mambo yote kuhusu Mariana yalinijia kama vile yametokea jana tu kumbe ni miaka kadhaa sasa imepita na nayasema hayo kwasababu sasa ni unclassified na hayana madhara kwa yeyote kati yetu. Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.
 
Back
Top Bottom