Umri wangu ni 40-45 Nakaa nyumba ya kupanga watoto wanne, nyumba yangu haiishi, mke amenistukia, nataka kumlamba card nyekundu japo hajui

sirikirusi

Member
Joined
Jan 9, 2020
Messages
91
Points
125

sirikirusi

Member
Joined Jan 9, 2020
91 125
Wakuu somo hapo lahusika.

Nilifunga ndoa miaka ya 2000 na kwamba couple yangu ina muongo mmoja sasa.

Ni kawaida watu kuwa kuwa na malengo, utaratibu wa maisha na wakati mwingine malengo yanaweza yakakugomea sana ukaamua kutafuta shortcut.

Kwa mfano unasema nikipata ajira nitaoa, nikifikisha 30 niwe na watoto wasiopungua watatu, nikifikisha 40 niwe kwangu, nanfamilia yangu nk nk.

Jambo jingine unaweza ukapanga, upate mwenza muelewa msikivu na mtunza mambo msiri, mkweli muaminifu, asiyechepuka nk

Lkn bado ukalenga muishi vema. Inafikia sehemu target zimebuma unaanza kuchakata kwa mfano kupata watoto mapema hata ukiwa nyumba za watu ili hata ukijahamia kwako, unaweza ukakamilisha malengo mengine. Kikubwa zaidi uzee usikukute unawatoto wanasoma msingi.

Mimi nimefika 40 bado sijahamia, watoto wako msingi na wengine kidato. Sipo mbali sana mapengo yangu. Nimechezea mulemule. Japo nimekubana na adha za nyumba za kupanga mara moaka watoto wanaamua kukuambia baba tukalale kwenye gari yetu mwenye nyumba hana heshima, anaringia nyumba hake, huwa nawajibu tu kwamba hajasoma mwanangu wewe soma sana, hutakuwa na akili yenye tabia mbaya.

Nikawaeleza pia kuwa mwenye nyumb akileta kero, mjue hamjafanya usafi, hamusikilizi maneno yangu. Basi nanyi mkae kimya kwani kunyamaza ni adabu inayotakiwa.

Kasheshe inakuja kwa mama yao. Tumejenga kijumba chetu mahala flan hakajaisha, anakomaa sana, nikipata kahela nakapeleka huku ada huku kupiga plasta. Yeye anaona nacheza. Sometimes usiku naamua kumpiga mashine ya hali ya juu. Mimi ni aina ya mtu stress free. Nikiamua kupiga masanga piga kweli, na nikiacha naacha.

Sasa naona dalili za kise za kisengerua. Huyu nitampiga punch. Chuo kikuu enzi zile kuna ile punch wazee wenzazngu udsm enzi zile wananielewa. Nataka hizi kanuni zimsepeshe mtu. Mamamae, wanawake wasio na heshima wasiowasikiliza na kukaa na kutafakari malengo ya waume zao fukuza, bora ukae mwenyewe.

Ndani ya nyumba ya kupanga naish na watoto wanawake zao nao watoto, mke anaona nimekosea sehemu. Anachukua kajimkopo anataka akaingize kwenye nyumba yetu, fine thanks. Sina shaka, lkn kadi itakapopigwa haitaangalia mchango wako.

Tukiwa kwenye ndoa tunakutana na mengi. Najua yaweza tokea, akaanua kukomoa akamengwe nje na hakika mm sirikirusi nitajua tu maanina
 

1gb

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Messages
1,407
Points
2,000

1gb

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2013
1,407 2,000
Nadhani mm hapa nipite kushoto maana umri wangu ni below..30.
Acha waje wazee washauri.
 

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
5,369
Points
2,000

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
5,369 2,000
Kukaa nyumba za kupanga na familia yote hiyo kubwa aliyo nayo ni changamoto sana wala simlahumu bibie

Kama ni hivi huyu jamaa atakuwa na matatizo
Ufupisho wa habari:

Mke kachukua mkopo ili wamalizie ujenzi wa nyumba yao. Jamaa amekasirika sana.

Hasanteni kwa kunisikiliza ndugu wajumbe!
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,392,924
Members 528,739
Posts 34,122,262
Top