Baada ya kutelekeza mimba, ililelewa na mwingine mtoto akapewa yeye (r.i.p) na jina lake

Frustration

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,095
4,059
Hapo zamani nilikuwa na mchumba ambae hadi kuachana kwetu tayari alikuwa na mimba changa. Nlijua ila baada ya kuvurugwa kwa kutengana kule nilimkatalia kwa kumwambia sina mwanamke mwenye mimba kama wewe.

Yule binti akapata mtu mwingine ambae alidumu naye hadi kajifungua. Sijui walikubaliana nini ila mtoto aliandika jina lake kama baba mzazi.

Baada ya miezi kadhaa R.I.P. kijana kafariki na baada ya muda mwanamke kaolewa na mwanaume mwingine.

Leo tarehe 22/01/2020 mwanamke aliniita na akawa amenambia kuwa mtoto huyu japo unamtenga na haumhudumii ila ni wako. Alienda mbali na kunambia kuwa Ndugu wa marehemu walimjia kumwambia kuwa marehemu aliwaambia mtoto ni wake.

Yeye aliwakatilia kwa kuwaambia kuwa mtoto huyu ana baba ila sio mtoto kwenu. Ndugu wa marehemu wamegoma na wanaendelea kumtambua kama mtoto wa mtoto wao.

Naomba msaada kama inawezekana Kumpata mtoto kisheria na kubadili jina la baba ili liwe langu.
 
HApo zaman nlikuwa na mchumba ambae hadi kuachana kwetu tayari alikuwa na mimba change. Nlijua ila baada ya kuvurugwa kwa kutengana kule nlimkatalia kwa kumwambia Sina mwanamke mwenye mimba kama Ww.

Yule binti akapata mtu mwingine ambae alidumu nae hadi kajifungua. Sijui walikubaliana nn ila mtoto Aliandika jina lake kama baba mzazi.

Baada ya miezi kadhaa R.I.P. kijana kafariki na baada ya mda mwanamke kaolewa na mwanaume mwingine.

Leo tarehe 22/01/2020 mwanamke aliniita na akawa amenambia kuwa mtoto huyu japo unamtenga na haumhudumii ila ni wako. Alienda mbali na kunambia kuwa Ndugu wa marehemu walimjia kumwambia kuwa marehemu aliwaambia mtoto ni wake.

Yy aliwakatilia kwa kuwaambia kuwa mtoto huyu anababa ila sio mtoto kwenu. Ndugu wa marehemu wamegoma na wanaendelea kumtambua kama mtoto wa mtoto wao.
Naomba msaada kama inawezekana Kumpata mtoto kisheria na kubadili jina la baba ili liwe langu frustration.
Weunafeli unastaili jela ata miaka miwil ndo usamehewe na ata Mtoto akikua iyo story akipata hatokuthamini
 
Lakini huenda nafsi yake imemsuta ukichukulia mazingira ya kuachana na kifo pia naamini kina nafasi yake pia.
Ngoja wajuvi waje ila huo msamaha sidhani kama unakustahili maana kakuita mwenyewe wakati umesema ulijua kuwa yule mtoto wa kwako na hukuwahi fuatilia mpaka alipokuita mwenyewe.
Ningekuwa marehemu ningekuibukia usingizini nikupe tabu sana
 
Wengi wameshakuonesha ni nini wangefanya kama wangekuwa mama wa huyo mtoto.

Amekutafuta, anadhani amekusamehe ila kimsingi HUSTAHILI kuwa baba wa huyo mtoto, we endelea na maisha yako na watoto uliojaaliwa/utakaojaaliwa, achana na huyo mama, atakuchonganisha, kama ni wako, muache aje akutafute mwenyewe siku za ushaibu wako Mungu akikujaalia.
 
Lakini huenda nafsi yake imemsuta ukichukulia mazingira ya kuachana na kifo pia naamini kina nafasi yake pia.
Sasa kuachana kwako na yeye kunamhusu nini mtoto? Yani umterekeze mtoto kwa ugomvi wenu wawili yeye unamhusu nini maana hakuwaomba mumleta duaniani, starehe zenu na mauno yenu ndiyo yalimtengeneza yeye.
 
Mtoto anamwaka tu hadi sasa na nataka nimuwahi na mama yake hampi sumu 7b anajua mm ndie the baba la mtoto
Weunafeli unastaili jela ata miaka miwil ndo usamehewe na ata Mtoto akikua iyo story akipata hatokuthamini
 
Somehow nimekosea ila nipo kwa kujisahihisha
Sasa kuachana kwako na yeye kunamhusu nini mtoto? Yani umterekeze mtoto kwa ugomvi wenu wawili yeye unamhusu nini maana hakuwaomba mumleta duaniani, starehe zenu na mauno yenu ndiyo yalimtengeneza yeye.
 
Sasa mkuu kwa ushauri huu unaniweka njia panda ya ni bet for future?
Wengi wameshakuonesha ni nini wangefanya kama wangekuwa mama wa huyo mtoto.

Amekutafuta, anadhani amekusamehe ila kimsingi HUSTAHILI kuwa baba wa huyo mtoto, we endelea na maisha yako na watoto uliojaaliwa/utakaojaaliwa, achana na huyo mama, atakuchonganisha, kama ni wako, muache aje akutafute mwenyewe siku za ushaibu wako Mungu akikujaalia.
 
Kuna baba mzazi na baba mlezi. Mara zote mwenye haki na mtoto ni baba mlezi. Bwana Frustration, wewe ni baba mzazi, hivyo mtoto si halali yako.
 
Duuh hii stories nyingine sasa, kwa hyo mm ni mlezi kwa mwanangu X?
Kuna baba mzazi na baba mlezi. Mara zote mwenye haki na mtoto ni baba mlezi. Bwana Frustration, wewe ni baba mzazi, hivyo mtoto si halali yako.
 
Back
Top Bottom