Sijawahi kula tunda kimasihara

Sijawahi kula tunda kimasihara

kabunda88

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
3,094
Reaction score
2,693
Wakuu sijui nakwama wapi toka nikue na kuwajua wanawake haijawahi kutokea nikala tunda kimasihara .
Pisi zote nilizokula ni planned na nahaso hasa kupata sijui nakwama wapi.
Nikisoma ule uzi wa wana walivyong’oa pis kali kimasihara nabaki kushangaa tu hiyo bahat kwangu haiji?
Ila poa tu kila mtu na bahat yake.
Heb tuambiane nani hana bahat hiyo ya kula tunda kimzaha mzaha tu km mimi..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ndo ujue kila mtu na bahati yake mkuu mbna tupo wengi tu hatujawahi kula tunda kimasihara
ila tunakula kwa macho
 
Wala usijisikie mnyonge Sana

Ngono sio oxygen useme uta suffocate ukikosa,Wala sio balanced diet useme utapata manultrition

Ni Jambo la muhimu katika mwili wa binadamu hasa kisaikolojia...lakini katika msingi wa ustawi wa kijamii kwa maana ya familia Ni muhimu zaidi

Ngono Ni Kama asali....Ni chakula kitamu Sana

Kinahitaji utaratibu na nidhamu ya Hali ya juu kukifaidi

Usipokua makini Kama unavyotaka kula kimasihara,utang'atwa na nyuki wa magonjwa ya zinaa STDs Kama UKIMWI nk

Lakini inaweza kukupalia pia....asali hupalia kwa asiekula kwa nidhamu,ukaishia katika majuto na umasikini mkubwa

Tangu zamani babu zetu waliweka misingi ya kumheshimu Ngono,na kutia uzito,ukengeufu wa misingi yoyote ya kushiriki Ngono ilihusishwa na laana na balaa mbalimbali ...kuwa makini

Lakini vitabu vitakatifu...vimeweka wazi pia juu ya hili. Mithali 5

Mlango 5

1 Mwanangu, sikiliza hekima yangu;Tega sikio lako, mzisikie akili zangu;
2 Upate kuilinda busara,Na midomo yako iyahifadhi maarifa.
3 Maana midomo ya malaya hudondoza asali,Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta;
4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga;Ni mkali kama upanga wa makali kuwili.
5 Miguu yake inatelemkia mauti;Hatua zake zinashikamana na kuzimu;
6 Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima;Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.
7 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa,Wala msiache maneno ya kinywa changu.
8 Itenge njia yako mbali naye,Wala usiukaribie mlango wa nyumba yake.
9 Usije ukawapa wengine heshima yako,Na wakorofi miaka yako;
10 Wageni wasije wakashiba nguvu zako;Kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni;
11 Nawe ukaziombolea siku zako za mwisho,Nyama yako na mwili wako utakapoangamia;
12 Ukasema, Jinsi nilivyochukia maonyo,Na moyo wangu ukadharau kukemewa;
13 Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu,Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha!
14 Nalikuwa karibu na kuingia katika maovu yote,Katikati ya mkutano na kusanyiko.
15 Unywe maji ya birika lako mwenyewe,Na maji yenye kububujika katika kisima chako.
16 Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali,Na mito ya maji katika njia kuu?
17 Yawe yako mwenyewe peke yako,Wala si ya wageni pamoja nawe.
18 Chemchemi yako ibarikiwe;Nawe umfurahie mke wa ujana wako.
19 Ni ayala apendaye na paa apendezaye;Maziwa yake yakutoshe sikuzote;Na kwa upendo wake ushangilie daima.
20 Mwanangu! Mbona unashangilia malaya,Na kukikumbatia kifua cha mgeni?
21 Kwa maana njia za mwanadamu zi mbele za macho ya BWANA,Na mienendo yake yote huitafakari.
22 Maovu yake yeye yatampata mdhalimu,Naye atashikwa kwa kamba za dhambi zake.
23 Atakufa huyo kwa kukosa maonyo,Naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We jamaa nakutabiria utabaka mtu siku si nyingi na utafungwa maisha
 
Kumbuka Kuna kile kifurushi ambacho unajiunga bila ya vocha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom