GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,327
- 4,250
Kuna kabinti humu juzi kalihongwa gari(Mahindra) na buda moja inayofanya kazi NIDA basi kanajikuta kameyapatia maisha balaa.
Post zake toka juzi zimekuwa za dharau sana. Jana kalimjibu mbovu memba mwenzetu kwenye post moja mpaka nilijisikia vibaya. Eti "siongei na watu wasiokuwa na gari".
Mimi namwambia tu ili ni jukwaa la urafiki, mahusiano na mapenzi hivyo ni lazima tuheshimiane na tupendane kama memba wote.
Sasa wewe mwenzetu umezuzuka na kagari kakuhongwa na bosi wa NIDA mpaka unaanza kudharau wenzio na kuwajibu vibaya kwenye post zako.
Acha hizo wewe.