NIKO lodge moja mitaa flani hapa.
Kuna manzi aliniendesha Kama kigari cha mafunzo ya udereva. Sasa Leo kakubali kuja kuachia mapaja kwa hiyari yake. Yupo njiani hivi.
Hapa naona moja haikai ...
Ikitokea umehamia nyumba nyingine ya kupanga na ukakuta Ex wako ndiyo amehamia jana tu, utafanyaje?
Tupe Mtazamo Wako Hapo Nini Utafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimejiskia kufanya fujo humu.
I predict mnaoandika mada zisizoisha za bikira, mko inexperienced ikija kwenye mapenzi, yaani ni watu reserved mnaogopa ku-explore.
Some of this group...
Wadau habari zenu. Kuna muda ninakaa na kucheka sana nikisoma majina na avatar za members humu jamii forum. Psychological huwezi kukaa tu ukabuni jina ambalo halina maana flani kwako, hata kama...
Maalum kwa wale ambao bado hawafahamu
*Mtakatifu Valentino*
Mtakatifu Valentino alikuwa ni padre wa Roma (Italia) ambaye aliishi kwa kuishuhudia imani ya kikristo kati ya mwaka 197 na 273. Kanisa...
Mimi nataka niulize hivi binadamu wote wanapenda romance au ni baadhi?
Pia ninavyojua ni rahisi kufanya sex na mtu usiyempenda, lakini ni ngumu sana kufanya romance na mtu usiyevutiwa nae...
Hellow wapendwa ,
Poleni na majukumu
Leo nimejisikia tu vyema kuandika hili jambo mana huenda kuna anayelia lia huko akidhani yuko peke yake /dunia imemtenga
Jibu ni HAPANA , amka , hauko peke...
Habari za humu wakuu....
Ni siku 9 tu zimebaki ifike siku ya wapendanao duniani. Najua kwa tulio na wapenzi tumejipanga ipaswavyo kuhakikisha siku hiyo tunayahuisha mahusiano na wapenzi/ wake...
Ni sababu ipi inayokufanya utafute mpenzi?Je ni kwa sababu ya umri umefika, au ili kuondoa upweke ulionao,au ili kupata watoto,au kusaidiana kimaisha, au ili upate uhakika wa tendo muda wote...
Kuwa na wapenzi wengi,ni ujanja ama ushamba?
Unakuta binti ana wanaume lukuki, kila mmoja anapangiwa muda wake na mbaya zaidi unakuta hawafahamiani. Hivyo hivyo kwa wanaume pia, wanakuwa na...
Hakuna sehemu yenye vijidudu vya magonjwa Kama mdomoni.
Bahati mbaya sana wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi bila kutumia mate Jambo ambalo linawaacha wanawake wengi na maradhi ya ukeni baada...
Mtihani wenu mkubwa katika maisha ya mahusiano ni pale mpenzi mpya anapoomba game...
Huwa mnawaza sana size ya maumbile ya mwanaume na huwa inawapa "homa" pale unapoona dole gumba na sign zote...
Nina rafiki yangu kipenzi sana ambaye tumetoka nae mbali sana, huyu jamaa huwa analia na kuumia sana kwa tatizo kubwa moja, anadai kuwa hapendwi na wasichana lakini hajui ni kwanini.
Jamaa...
Wakuu nilikuja hapa na uzi siku chache zimepita nikijifaliji kua ninalo tumaini kuwa nitapata kipenda roho.. baada ya kuwa single kwa kipindi..kidogo.
Nilikua nataman sana kupata wa kupendana...
Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?
Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona...
Mimi ni wa mwisho niliyetokea kwa bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake.
Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa...
Kuna vitu huwa najaribu vifikiria kwenye maisha najipa majibu tu kuwa sitoweza,maana kama ni kujaribu kuvaa nimeshajaribu kuvaa pete za urembo za kawaida tu muda mrefu ila nimeshindwa. Sasa...
NUKUU KUU YA UZI
"Nikiamua naweza kuwa kama wewe, ila wewe huwezi kuwa kama mimi kamwe"
Hawa mabinti ni rafiki zangu, nimefahamiana nao tangu zamani sana...nakumbuka enzi hizo tulikuwa...