Habari za asubuhi. Ni matumaini yangu wenzangu ni buheri wa afya.
Kuna hii kitu nilikuwa natafakari jinsi hali ilivyo kwa sasa katika jamii yetu. Kuna trend ambazo naziona ambazo zinaturudisha...
Ndugu zanguni Assalam!
Natumai mu-wazima wapendwa wengi wetu mkisherehekea pasaka.
Iko hivi, imetokea tatizo kati yangu na mke wangu. Kiukweli nikiri kuwa mimi ndio chanzo cha tatizo. Jana...
Habarini wakuu,
Naamini angalau kila mmoja wetu anahitaji kuwa mtoto. Wengine wameshafanikiwa na wengine bado.
Je, wewe ambae una mtoto ni kitu gani kilikufanya uchukue hatua za kuamua kuwa na...
Wachepukaji uzi wetu huu sema vile ulivyochepuka, ulishachepuka na wangapi Nje ya mume/mke/mpenzi wako ,
Je ulishawahi kuchepuka kwa sababu ya Tamaa,
Mfano kwa sababu ya Chura au muonekano wa...
Msichana yeyote anayemsalti mpenzi wake "moto umuwakie, meno yambele yatoke ,nywele zote kichwani zitoke na pia apinde miguu
Kwa mvulana anaye msaliti mpenzi wake
" eeeh baba tusamehe sisi...
Kwa mapenzi makubwa kabisa nasema, nawapenda wanawake wa rangi zote, weusi na weupe.
Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi nyeusi na ukali wa joto la mwilini?
Kusema kweli, imenitokea Mara zote...
Siku si nyingi nilileta posti ya kutofautiana na mpenzi wangu, hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji KIUKWELI nilikubali hali halisi, lakini tangu niachane nae nimejaribu kutengeneza mahusiano...
Kumekuwa na Hali ya sintofahamu inayowakumba wadada au wanawake wengi, wanavumilia vipigo, manyanyaso matusi, kebehi nk. Hapa naongea na wadada ambao Bado hawajaingia kwenye ndoa sijui ambao...
Hawajali afya zao, hawapimi Wala nini tofauti na wazee wanatembea na vipimo vyao , apime pressure, acheki sukari iko level ngapi? Acheki hiv yaani wanajali sana afya zao.
Kina mama kuweni makini...
Habari za muda huu wana JF,
Siku kadhaa zilizopita niliomba ushauri wa kuhitaji zawadi ya kumnunulia huyu msichana, nashukuru kwa michango yenu kwa wale wote walionichangia Hivi huyu manzi nataka...
YOUR CHILDREN RECORD EVERYTHING YOU DO IN MARRIAGE!
Samuel Olagbenjo
When my wife came back from office this afternoon, my son was so excited that he hugged her so much that he never wanted to...
Hivi iweke upande wako...
Mke akikuambia mbona mme wangu hujisugui vizuri. Na kukunanga kama mtoto mdogo. Hujisugui vizuri ukienda kuoga...
Wewe (Mume) unamjibu twende tukaoge wote ukanisugue...
BEST TIME TO MAKE LOVE TO YOUR SPOUSE
Yes, you should make love anytime you both want to but here are strategic times you don't want to miss and means the whole world to your spouse. Make your...
Wakuu inakuaje??
Kumekuwa na baadhi ya kundi la baadhi ya wanaume kuwasema wanaume wenzao wanaogharamia kuwa ni wazembe mara vichaa mara hawajitambui. Kila mtu ana ideology zake ana perceptions...
"Asubuhi kabla ya jogoo kuwika uniamshe na kimoko" .....nami NAKAZIA hapo hapo,kwa afya ya akili na mwili hii kitu ya asubuhi ni muhimu sana utafiti unaonyesha 99% ya wanaopata cha asubuhi...
*MWANAMKE ALIYEACHIKA ANAANDIKA*
Ninaandika haya ili uelewe kwamba ni vizuri kuwatambua wenza wetu na mchango wao licha ya mapungufu yao. Nina umri wa miaka 32. Mimi na mume wangu tulikaa kwenye...