Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa niliyoyashuhudia na ambayo naendelea Kuyashuhudia Mimi Msimamo wangu juu ya Hoja husika nitausema mwishoni kabisa ila kwa sasa naomba niwaachieni nanyi pia muweze Kufunguka kwani yawezekana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaamu kwa wote, ili swala mara nyingi la kupata maumivu ya mioyo hata kuvunjika mahusiano linatokea kwenye mahusiano na ndoa nyingi ambapo mmoja wapo anapotambua mwenzie kachepuka. Presha ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Waondoe hofu Dkt Punam Krishan, ambaye ni daktari wa familia nchini Uingereza mwenye mtoto wa miaka sita, anasema ni muhimu kumuondoa hofu na kumuelea kuwa hali hiyo ni sawa na mtu anapopata mafua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Natumai ni wazima kabisa. Wale wanaofunga nawapa pole na hongera, makobe badilikeni lakini nyote tumieni mfungo na kipindi kufanya yaliomema na acting ziishe. Leo nimeona...
25 Reactions
113 Replies
17K Views
Ndio maana wale jamaa walokole wanapigwa chini ,kila uchao.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kuna Besti yangu Tulimaliza nae chuo Mjini hapa Dar yeye akafanikiwa kupata kazi Bank moja ivi ipo Posta ila yeye anakaa Tegeta nyuki. Ana kama miaka miwili toka apate kazi pia akapewa mkopo wa...
3 Reactions
89 Replies
12K Views
Habari za asubuhi wakuu. Kwa matukio ya migogoro niliyoshuhudia na mingine kuambiwa ni wazi kuwa wanandoa huwa hawasemi ukweli wa vyanzo vya migogoro yao au ugomvi wao. Ndio maana suluhu...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Mwaka jana ulikuwa mwaka mzuri sana kwangu mwanzoni,uchachu ulianza ulipofika katikati ya mwaka hapa nazungumzia mwezi wa sita ambapo nliweza pata aibu kubwa ambayo kila nkiikumbuka huwa najiona...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
I am female aged 29, I am looking for a man who is serious to get married this year. Guys help me find the best man in the world, awe na miaka 30 nakuendelea. Mwenye kazi yake na mwenye kujitambua
10 Reactions
126 Replies
13K Views
Kimemkuta jamaa fulani uko, kafunga ndoa na binti, kumbe binti anamchezo mchafu wa kutoa 0713, kizazi hiki kabla ya ndoa, hakikisha unafanya inspection ya mbele na nyuma, sina maana ushiriki uko...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Salamu zenu. Napenda tu niwaambie kaka zangu ambao mnajaribu kuunda mazingira ya urafiki na mimi. Ni jambo zuri kufahamiana kwa staha na heshima. Miaka hii wanaume hamna kabisa... Yaani mpaka...
36 Reactions
300 Replies
35K Views
Ukitaka kuona umuhimu wa mke fatilia mahojiano aliyofanya Kachero mbobezi Ndugu Membe anawambia waamdoshi kuwa anaenda hotelini kula chakula kizuri na mke wake. Je, chakula hicho ni kipi? nauliza...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Enzi izo katika zululazula zangu Facebook nikapataga Manzi anamkwanja balaa sababu alikuwa ananitoa toa vivocha na vijicent. Siku akasema nikamtembelee kwao about 120 Km ivi, nikamwambia hapa sina...
27 Reactions
109 Replies
9K Views
Wasalamu Wanajamvi... Kweli kaa kwenye nyumba za kupanga uone mengi. Leo kuna jambo nimeliona nikashindwa kuelewa kama limetokea kwa sababu ya heshima au kwasababu ya mapenzi yaliyopo kwa Wapenzi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Soma kisha tazama video hiyo hapo chini... Ni maandamano ya wanawake walio uchi kabisa... Kiswahili wanasema uchi wa mbuzi au uchi wa mnyama... Maandamano yao yana ujumbe na kilio kimoja tu...
27 Reactions
364 Replies
57K Views
Kuna msichana nilikuwa nachat naye kama miezi mitatu sasa, simfahamu kabisa nilipewa namba yake sababu nilikuwa na project iliyokuwa inahitaji wadada , ila bahati mbaya kumbe kwa muda huo alikuwa...
10 Reactions
94 Replies
8K Views
Kuna kipindi nilipataga Job stationery. Kuna siku mida ya mchana ilikuja gari ya jeshi akashuka kijana mwanajeshi na ameshika kibahasha chake. Akauliza vipi mnafanya laminations ya vyeti? Nikajibu...
13 Reactions
34 Replies
10K Views
Jambo wakuu Yapata mwaka sasa tangu nisitishe mahusiano na huyu binti na hii yote alisababisha yeye, ukimwambia hivi anajibu vile, ukimwambi sina hicho kiasi cha pesa ananuna mara tukawa tukitoka...
11 Reactions
210 Replies
21K Views
Baada ya miaka karibu 8 bila mtoto mfanyabiashara mmoja nchini Zambia aliamua kufanya maamuzi magumu. Ilikuwa mwaka 2014 ndipo mfanyabiashara huyo akakubaliana na mkewe kuwa mlinzi wao wa getini...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wapendwa wangu MMU, Jukwaa hili lilikuwa manufaa sana kwangu wakati wa kujiandaa kuingia kwenye ndoa mpaka sasa nikiwa kwenye ndoa na furaha zote....those practical experiences you shared are of...
4 Reactions
32 Replies
32K Views
Back
Top Bottom