my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Hivi mtu akikuita kwio ake ndio huwa anamaanisha nini?
Hmmmm kwani maana yke nini kwio akeKwa mwanaume kutumia hilo neno ni dalili ya ushoga sjajua huo upande mwengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hmmmm kwani maana yke nini kwio ake
Wewe utakua hujui maana yke unaleta blah blah tu 😂We jua hivyo na nikizungumzia hili swala ni kama navunja miiko na taratibu za jinsia yangu
Mashangingi wengi hupenda kuitana na kulitumia tena wanabana sauti na kuvuta sadly wanaume wanalitumia pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakua hujui maana yke unaleta blah blah tu [emoji23]
Yani kuku ake? Sasa mbona haileti maana?
Kama best sio mbaya hta wanaume wanatumia 😀Amini kwamba
...huo ni msemo kama mnavyoitana shoga angu ,best sjui nyonyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndio nini 😂 watanzania wana misemo ya ajabu isiyokuwa na maana kweliKuku ake