Ulipitia changamoto ipi baada ya kumchakata dada wa rafiki yako???

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Rafiki yangu mpendwa alikua na dada mzuri sana, nilitokea kumwelewa too... basi nikafanya kumchombeza bahati nzuri akanielewa kwa sharti la kaka yake asijue chochote.

Nikaanza kumla mgegedo, siku1 rafiki yangu kaazima sim ya dada ake kunitafta akakutana na namba yangu imeseviwa "my heart" alitokwa povu sana aliponitafta then ndo ukawa mwisho wa urafiki wetu...
nilijilaumu sana kumpoteza my frnd coz alikua zaidi ya rafki na tulisaidizana mambo mengi sana, bt pendo na dada yake liliendelea mpaka tulipo break
je upande wako ulipitia changamoto ipi??
 
rafiki yangu mpendwa alikua na dada mzuri sana, nilitokea kumwelewa too... basi nikafanya kumchombeza bahati nzuri akanielewa kwa sharti la kaka yake asijue chochote.

nikaanza kumla mgegedo, siku1 rafiki yangu kaazima sim ya dada ake kunitafta akakutana na namba yangu imeseviwa "my heart" alitokwa povu sana aliponitafta then ndo ukawa mwisho wa urafiki wetu...

Wa swahili wengi hawana personal trust, ndomaana sikaribishagi mswahili nyumbani ili kutuza hashima ya home, akili zenu 90% huwaza ngono......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waume wengi ambao wana wivu kwa dada zao, huwa wanatabia moja kati ya hizi mbili.

1. Domo zege kabisa, halijui kutongoza. au
2. Malaya haswa, asiye jua kuchagua yani kila manzi atae mpata yeye twende tu.
 
Inakuhusu☝️☝️
 
rafiki yangu mpendwa alikua na dada mzuri sana, nilitokea kumwelewa too... basi nikafanya kumchombeza bahati nzuri akanielewa kwa sharti la kaka yake asijue chochote.

nikaanza kumla mgegedo, siku1 rafiki yangu kaazima sim ya dada ake kunitafta akakutana na namba yangu imeseviwa "my heart" alitokwa povu sana aliponitafta then ndo ukawa mwisho wa urafiki wetu...
nilijilaumu sana kumpoteza my frnd coz alikua zaidi ya rafki na tulisaidizana mambo mengi sana, bt pendo na dada yake liliendelea mpaka tulipo break
je upande wako ulipitia changamoto ipi??
Huyo kaka mtu hakuwa na confidence tu
 
Daah! Kuna rafiki yangu wa utotoni alikuwa mpuuzi mpuuzi sana, sasa dada yake akawa ananielewa sana, kwa kweli niliishia kumkazia sababu nilikuwa namchulia kama sista angu. Yule jamaa yangu ana tamaa sana najua yeye angekuwa mimi asingelaza damu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifahamu upande wako uko vipi mkuu, ila upande wangu mimi wanawake ni wengi tena wenye kila sifa. Sina haja ya kulala na dada wa rafiki yangu. Labda kama sijaelewa urafiki unaozungumziwa hapa!
Kuna ubaya gani? Rafiki yangu mmoja wa karibu ameolewa na rafiki kipenzi wa kaka yake na urafiki wao imeimarika maradufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom