Hakuna Kazi Ngumu Kama kumfurahisha Mtu Alie achwa na Mpenzi Mwenye hela

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Kazi kweli Kweli.. jumlishia na corona virus kichwa inaeza pasuka

ilikuwaje Siku unachezea ban Kwa Mpenzi wako Alie kuwa anaku Affords Kila kitu?

Maisha Yako yalikuwaje kwakipindi hicho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati mbaya sijawahi pata mwanamke akanihonga hata Mia! Hata nikiwa na rafiki wa kike lazima ataniomba hela!!.. nimeanza kujishuku mimi ni ATM naanza kufikiri muonekano wangu unaniponza maana ngumu hata kuaminisha kuwa Sina hela😂😂
Kuna watu tunapata tabu sanaaaa
 
haha Marioo nawasubiri hapa Waje kutugea ma experience
Bahati mbaya sijawahi pata mwanamke akanihonga hata Mia! Hata nikiwa na rafiki wa kike lazima ataniomba hela!!.. nimeanza kujishuku mimi ni ATM naanza kufikiri muonekano wangu unaniponza maana ngumu hata kuaminisha kuwa Sina hela
Kuna watu tunapata tabu sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni hasara kuhonga vi buku ten kwa demu anayenipa papuchi mara 6 kwa wiki na wala simuachi ila akipunguza kunipa angalau mara tano kwa wiki napiga chini fasta,hata akiwa kwenye siku zake tunabinjuka na ndomu tu

Sent using IPhone X
 
mkuu wewe ni Muuaji Kwa siku sita uonge 10k

Wanawake unao Lala nao Natamani Kujuwa mionekano yao!!
Sioni hasara kuhonga vi buku ten kwa demu anayenipa papuchi mara 6 kwa wiki na wala simuachi ila akipunguza kunipa angalau mara tano kwa wiki napiga chini fasta,hata akiwa kwenye siku zake tunabinjuka na ndomu tu

Sent using IPhone X

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah we acha tu
Hivi mkuu inakuaje mtu akikuona anakuona kama una hela we shida hujui flani hivi Mara akuombe ela au umkopeshe ukimwambia huna haamini kabisa hivi shida ni nini ?
Bahati mbaya sijawahi pata mwanamke akanihonga hata Mia! Hata nikiwa na rafiki wa kike lazima ataniomba hela!!.. nimeanza kujishuku mimi ni ATM naanza kufikiri muonekano wangu unaniponza maana ngumu hata kuaminisha kuwa Sina hela
Kuna watu tunapata tabu sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah we acha tu
Hivi mkuu inakuaje mtu akikuona anakuona kama una hela we shida hujui flani hivi Mara akuombe ela au umkopeshe ukimwambia huna haamini kabisa hivi shida ni nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinaitwa muonekano.. kuna kuwa na viashiria fulani haswa kwenye uvaaji,tembea na mwili pia unakuwa wa aina fulani hivi si wakuhubiri shidashida!😂 Kumbe hawajui siri ya mtungi aujuae kata unakuta una buku mbili tu unaipangia uitumieje ikutoshe😂😂
Ukiwa unaendesha mambo kiana fulani hivi kama Quality kiasi Basi wengine wanajua hapa zipo.. mnyime uone atakavyokuzodoa kana kwamba kaziweka yeye hizo hela
 
Bahati mbaya sijawahi pata mwanamke akanihonga hata Mia! Hata nikiwa na rafiki wa kike lazima ataniomba hela!!.. nimeanza kujishuku mimi ni ATM naanza kufikiri muonekano wangu unaniponza maana ngumu hata kuaminisha kuwa Sina hela
Kuna watu tunapata tabu sanaaaa
Dah! Umeongea sentensi kubwa sana aisee! Hata mimi hiki kitu kinaniponza sana, hasa napokuwa sina salio la kutosha!

Muonekano na mavazi vinani-cost. Hata nikiwa na marafiki, wawezafikiria labda mimi ndiye nakwenda kuwanunulia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati mbaya sijawahi pata mwanamke akanihonga hata Mia! Hata nikiwa na rafiki wa kike lazima ataniomba hela!!.. nimeanza kujishuku mimi ni ATM naanza kufikiri muonekano wangu unaniponza maana ngumu hata kuaminisha kuwa Sina hela😂😂
Kuna watu tunapata tabu sanaaaa
Tupo wengi jaman.

Me Dada yangu kaolewa lakini kila Siku kazi ni kuniomba hela tu.
 
Sioni hasara kuhonga vi buku ten kwa demu anayenipa papuchi mara 6 kwa wiki na wala simuachi ila akipunguza kunipa angalau mara tano kwa wiki napiga chini fasta,hata akiwa kwenye siku zake tunabinjuka na ndomu tu

Sent using IPhone X
Napenda hela, ila hii yako ya moto. SIWEZI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom