EGF
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 388
- 1,024
Habari za wakati huu wanajamvi. Kama linavyojieleza swali hapo juu. Swali Hilo ningependa nilielekeze kwa sisi vijana jisia ya kiume.
Unapokua katika mahusiano na msichana ambae unamalengo ya kumuoa hapo baadae Kama MUNGU akijaalia. Je! Ni sahihi kuchunguza simu yake ya mwenza wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapokua katika mahusiano na msichana ambae unamalengo ya kumuoa hapo baadae Kama MUNGU akijaalia. Je! Ni sahihi kuchunguza simu yake ya mwenza wako?
Sent using Jamii Forums mobile app