QEEN ADEMU1
Senior Member
- Dec 24, 2019
- 134
- 324
JE MPENZI WAKO AMEWEKUWEKA KATIKA KUNDI GANI
FANYA Yoote Ufanyayo..Lakini Mwisho Unapaswa Ujue Je Mpenzi Wako Amekuweka Katika Kundi Gani Kati ya Haya Matatu?
KATIKA mapenzi kuna mambo mengine yanaumiza, lakini ni vizuri kujifunza. Ukijua inakuwa rahisi kukaa nayo mbali.
Kuna kitu nataka kukupa rafiki yangu mpendwa. Je, unajua kuwa baadhi ya wanawake huwaweka wanaume katika makundi?
Ndugu zangu baadhi ya wanawake wasio waaminifu wenye wanaume zaidi ya Mmoja, huwaweka wanaume kwenye makundi matatu.
Unaweza kuwa na msichana mkapendana sana, kwa sababu ya upofu wa mapenzi usijue amekuweka kundi lipi. Ni vizuri kuyafahamu makundi hayo kisha kujichunguza ili ujue kundi ulilopo.
MAKUNDI
Makundi hayo ni starehe, kutoshelezwa kimapenzi na fedha. Lazima uwe makini sana ili uweze kujua tabia za makundi hayo.
Inahitajika utulivu na umakini wa hali ya juu maana wakati mwingine mwanamke anaweza kuonyesha dalili ya wazi ya kundi Fulani, lakini kutokana na kupumbazwa na mapenzi ukaamini kwamba umefika kwenye kiota cha raha za wapendanao.
KUNDI A
Unaweza kuwa kwenye kundi la starehe. Mwanamke akawa na wewe kwa lengo la kuwa na uhakika wa kupata starehe kila wiki. Hebu angalia tabia za mpenzi wako, yukoje?
Haina maana kwamba mwanamke akipenda starehe ni tatizo, lakini ukiona mazungumzo yake yanaonekana kujali zaidi starehe kuliko mambo mengine muhimu, ujue hapo upo kwenye mikono isiyo salama....NA hautaweza kuendelea kiuchumi mf.ni wanawake wa chuo
Mwanamke mwenye upendo wa dhati hawezi kuendekeza starehe, sana sana atakusubiri umshinikize mtoke....anaaangalia nafasi yako imekaa vipi !! Hawezi kuomba tompoo wakati uwezo wako ni soda ya pepsi
KUNDI B
Wapo wanawake ambao wapo na wanaume kwa ajili ya kujipatia fedha...
Wanawake wengi wa aina hiii wanapatikana kwenye mitandao ya kijamii kama fb,inster, badoo,whatsap ,Tinder....bila kisahau na wanaotoka uswahilini wanajidai wakishua
Fikra zao zote ni kupata fedha na si kitu kingine chochote. Atafanya kila kitu, atatafuta kila sababu lakini lengo lake ni kukuchuma...yupo ladhi asingizie anaumwa lengo akungoe tu mkwanja
Wanawake hawa wapo wa aina mbili, wengine huchuna fedha na kwenda kula raha na wanaume wengine,...tena wanawatumia kwa mpesa huku wengine wakiwa ni wachumi kwa manufaa yao wenyewe.....kama kupendezesha mageto yao au kuongeza ntaji kwenyebiashara zao
Wachumi mara nyingi huwa na wanaume wengi wakiwa na lengo la kujipatia fedha. Ni kama wanajiuza lakini hawapo sokoni rasmi. Mwanamke wako yukoje?...wapo indirect kila ukienda kusex naye anataka umpe hela si aseme tu kama anauza??
KUNDI C
Kundi la C ni lile la wanawake wanaotaka wanaume wa kuwatumia kimapenzi tu. Huyu hata usipompa fedha, shida yake kubwa huwa ni faragha....anakukubali. Sana kwa stayle zako na ufundi yako ila sio vitu vingine
Mara nyingi mwanamke wa aina hii anaweza kuwa mkubwa kiumri kuliko mwanaume lakini wakati mwingine anaweza kuwa na umri wa kati, sawa au chini ya mwanamume, lakini haonyeshi nia ya malengo ya ndoa siku zijazo...
Yupo yupo tu
Huyu ni rahisi kumgundua hata katika mawasiliano tu. Anaweza kukuambia waziwazi anakutaka faragha, tena mara kwa mara. Hazungumzii maendeleo, hataki kujua habari
KUNDI D hili ni kundi la wanawake amabao mara nyingi huwa wapo serious sana na maisha umtafute usimtafute yaani kwake anachukulia poa tu hana shida yoyote ......umpe pesa usimpe umtoe aout usimtoe yaani yeyey hajali ila anajali sana nafac yake kwako umemuweka ktk kundi gani??? Mara nyingi wanawake wa aina hii wanaume wengi huwa wanashindwa kuwaelewa na kudhani kuwa wanamichepuko
TAFAKARI CHUKUA HATUA MUDA UNAENDA NA UMRI UNAENDA WAKO AMEKUWEKA KATIKA KUNDI GANI????
Sent using i phone x