Hivi vijana bado mnawaza tu ndoa?

Hivi vijana bado mnawaza tu ndoa?

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,417
Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe

Jeshi la polisi nchini limemtia nguvuni mfanyabiashara mkoani Shinyanga Anitha Mayuma kwa tuhuma za kuandaa mauaji ya mume wake Festo Misonge ambaye alikuwa meneja wa idara ya maji wilaya ya Sikonge mkoani Tabora.

Bado tu mnaiwaza ndoa?

•Sometimes Pessimism pays
•Being Pessimistic sometimes saves your Life.

Ushauri:-
•Tafuteni Hela sanaa mle mema ya Dunia achana na Ndoa.
•Kukaa ndani na mtoto wa Mtu ni Adhabu kubwa sana.

Mwenye Macho na aone.
Mwenye Sikio na Asikie.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu....
Ndoa ni agano, na mauaji ni jinai.
Naona unajaribu kuchanganya mafuta na maji, na bahati mbaya haviwezi vika changanyikana.
Kama baba/mama anamuua mwanae, mbona haushangai kwanini bado watu wana zaa..!!??
 
Kwa hiyo unataka kusema ukishuhudia kwa macho yako gari linapinduka na kuua watu mànake huezi kamwe kununua gari maishani mwako et?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom