Habari Wana jamvi,
Japo si mwenyeji sana humu nimelazimika kuandika uzi huu kutokana na tafiti nilizofanya juu ya mahusiano haswa pale ambapo unakuta umekutana na mwanamke kwa Mara ya kwanza ana kwambia"baby toa hiyo inaniumiza"au "baby Toa bhana sisikii raha"binafsi nimekutana na case hizo nyingi tangu nianze kuwajua wanawake ktk maisha yangu.
Pia wenzetu hawa hawapo mstari wa mbele kusisitiza matumizi ya Kinga ,mf unakuta umepanga kukutana kimwili na mwanamke lakini Wala yy hakumbuki kukuzisitiza uende na Kinga,na Kama mwanaume hujajiongeza basi ujue utamla kavukavu,je kwa namba hii masmbukizi yataisha?
Sent using Jamii Forums mobile app