Kwanini wanawake ni wakatili sana ?

Kwanini wanawake ni wakatili sana ?

Andie

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
712
Reaction score
1,643
HII IMENIUMA SANA. Ukweli usemwe wazi wanawake ni wakatili hapana mfano chini ya jua.

Hakuna mwanaume hata kama ni mkorofi vipi atamhadaa mwanae ili kumuumiza mama yake mfano wa huyu mama.

Wanaume wamekua wakiumizwa SANA na mfumo uliopo unao mpendelea mwanamke na madawati yao ya jinsia.

Yani hapo angekua ni mwanaume hata kamtia kofi tu mwanamke ungewasikia wanaojiita wanaharakati wanavyojua kurefusha midomo kulalamika na kulaani lakini ona unyama wa hawa binadamu wenzetu dhidi yetu wanaume daaaah.

Na matukio ya kuwasingizia wanaume kesi ni mengi mno na jamii hukimbilia kumsikiliza mwanamke hata kama ushahidi utaonyesha mwanaume hana hatia.

Yani mwanaume apambane na mihangaiko na madhila yote ya kutafuta kwa ajili ya mke na watoto afu mke anamsukia uongo wa namna hii, khaaaa mbona najisikia hasira sana jamani. pole sana mwanaume mwenzangu.

Screenshot_20200319-143747.jpeg
Screenshot_20200319-143826.jpeg
 
Mbaya zaidi jamii imeamua kumsikiliza mwanamke na mpaka madawati ya kuwatetea yapo mantink yangu ni kua mwanamke anapewa baraka zote na jamii kutekeleza ukatiliwake, sijui kama naeleweka hapa ?
Kweli kabisa, ukatili hauhusiani na jinsia hata kidogo.
 
Mbaya zaidi ni kwamba jamii imeamua kumsikiliza mwanamke na mpaka madawati ya kuwatetea yapo mantink yangu ni kua mwanamke anapewa baraka zote na jamii kutekeleza ukatiliwake, mwanamke akijiliza tu hapo na kusema kabaka mwanaume anawekwa ndani HATA KAMA USHAHIDI UTAONYESHA VINGINEVYO. sijui kama naeleweka hapa ?
Mkuu, ukatili sio kwa mwanamke tu. Pengine unaweza kutana na mwanaume katili hata zaidi ya shetani.
Katili ni kiumbe yeyote mwenye uwezo wa kufanya kitendo cha kinyama/kikatili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi jamii imeamua kumsikiliza mwanamke na mpaka madawati ya kuwatetea yapo mantink yangu ni kua mwanamke anapewa baraka zote na jamii kutekeleza ukatiliwake, sijui kama naeleweka hapa ?
Lini hiyo jamii ilihalalisha mwanamke afanye ukatili? Madawati ya kuwatetea yapo ndio na kazi yao kutetea changamoto wanazopitia wanawake na kuwasaidia.
Hao wanaofanya ukatili ni matatizo yao binafsi ila hakuna aliyehalalisha hilo
 
Lini hiyo jamii ilihalalisha mwanamke afanye ukatili? Madawati ya kuwatetea yapo ndio na kazi yao kutetea changamoto wanazopitia wanawake na kuwasaidia.
Hao wanaofanya ukatili ni matatizo yao binafsi ila kuna aliyehalalisha hilo
avatar yako tu, mimi hoi bin taaban. Nadhani huu pia ni ukatili....
 
"Kuwatetea" kwa kua wao ni "special sana" ??! Au kwa kua "wanamewa sana"??! Je inapotokea kua hawaonewi ila wao wanasingizia, HILO DAWATI LINACHUKUA HATUA GANI ?!! Na kuonyesha jinsi wanawake wana roho mbaya hata hawaguswi pindi matendo yao YA KINYAMA yanawaumiza wanaume.
Lini hiyo jamii ilihalalisha mwanamke afanye ukatili? Madawati ya kuwatetea yapo ndio na kazi yao kutetea changamoto wanazopitia wanawake na kuwasaidia.
Hao wanaofanya ukatili ni matatizo yao binafsi ila kuna aliyehalalisha hilo
 
Wanawake ni wakatili kwa sababu wanakutana na kufanyiwa vitu vya kikatili...

Moyo wa mwanamke umejaa huruma sana,
Lakin ndani yake hiyo huruma ikitoka ukatili unaingia mahala pake...

God bless all womens starting with my lovelyMumy
 
"Kuwatetea" kwa kua wao ni "special sana" ??! Au kwa kua "wanamewa sana"??! Je inapotokea kua hawaonewi ila wao wanasingizia, HILO DAWATI LINACHUKUA HATUA GANI ?!! Na kuonyesha jinsi wanawake wana roho mbaya hata hawaguswi pindi matendo yao YA KINYAMA yanawaumiza wanaume.
Inaonekana kuna jambo behind this, haiwezekani uchukie wanawake kiasi hiki. Anyway kitabu cha dini kilisema "muishi nao kwa akili" nadhani majibu la maswali yako yote yapo hapo
 
Avatar ya kudownload mkuu, ukikutana nae live ndo utajua kua hujui kua bi kidude bado yu hai na yuko JF kwa avatar hyo.
Haahahaaa hadi avatar yangu yakupa kiungulia mkuu! Pole sana
 
Mkuu, ukatili sio kwa mwanamke tu. Pengine unaweza kutana na mwanaume katili hata zaidi ya shetani.
Katili ni kiumbe yeyote mwenye uwezo wa kufanya kitendo cha kinyama/kikatili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tabia ya binadamu wengi kupenda ku generalize mambo. Mfano limefanywa na mtu wa jinsia moja basi utasikia jinsia fulani ni hivi na hivi.

Hapa TZ ni kawaida sana. Mfano kwakuwa Massawe ameiba pesa utasikia Wachaga wote ni wezi wa pesa.
 
Hizo Sheria na hizo desks zote tumezianzisha sisi wanaume lengo kubwa likiwa political attention na Hakuna kingine zaidi ya siasa na saizi inatugharimu kwa uzembe tunaoruhusu utokee kwa kujifanya eti tunatetea kiumbe alieongea Live na shetani bila hata kujua waliongea nini
 
Madawati ya kijinsia hayapo kwa ajili ya wanawake tu, yapo kwa ajili ya wote.
Hivyo kama una malalamiko yako dhidi ya wanawake wewe peleka tu na utasikilizwa.

Ukatili hauna jinsia, so far nafikiri wanaume mnaongoza kwa matukio ya kikatili zaidi. Labda ya wanawake mnayakuza sana maana wanawake ni viumbe vyenye huruma sana hivyo linapotokea tukio kama hilo lazima lishtue jamii kidogo.
 
Back
Top Bottom