Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,829
Naomba kufahamu changamoto zilizopo kuwa na mtu msioendana kitabia. Mf : Mwanaume mtu wa dini lakini mwanamke sio mhudhuriaji wa maeneo ya ibada. Mwanamke muongeaji sana huku Mwanaume akiwa sio mtu wa maneno mengi.
Naomba kufahamu changamoto au kama kuna faida ningependa kuzifahamu?.
Naomba kufahamu changamoto au kama kuna faida ningependa kuzifahamu?.