Sijali elimu wala kazi yake. Ila ningependa awe mrembo na kikubwa awe mwenye hekima ya kuishi na mume. Endapo atapenda tutafunga ndoa japo sio lazima pia kama hahitaji
Mimi
umri miaka 30
Ni...
Natafuta mwanamke mtu mzima anayejielewa na ambaye anahitaji kuwa na mwanaume wa kutulia nae kimahusiano.
Nahitaji wazee wenzangu umri kuanzia miaka 30 au zaidi na mwisho ni miaka 45.
Ukiwa na...
Hamjambo?
Ninayoyaandika hapa ni ya kweli na wala maunihukumu jamani, jifunzeni tu maisha yaendelee.
Nakumbuka wakati nipo chuo, miaka kama mitatu iliyopita, niliipenda sana jf. Katika...
Unaenda na mtu kupumzika mahala flani, utashangaa wakati wa kuvua boxer na trouser vyote anavishika kwa pamoja na kushusha chini, au anavulia ndani ya shuka. Ukija kuangalia hiyo boxer unaweza...
Mimi naona km mzigo halafu hta wakivaa hawapendezi wanakuwa wametuna km wamebeba mzigo wa nn sijui.
Mimi ktu siwezi kuja kuruhusu kwa mwili wangu ni kunenepa halafu nije kuwa na makalio makubwa...
Wakuu jana Mungu alikuwa upande wangu lasivyo nilikuwa naliwa pesa nyingi sana daah.
Wacha niwape mziki, kuna gashi mmoja hivi tulifahamiana 2 weeks ago mimi nilimvutia waya ngoma ika connekt...
Wadau,
Hamna kitu kinachosha na kuumiza kichwa hususani pale umeshakula mzigo kwa namna yoyote..halafu mubebe anakwambia anakuja siku hiyo...halafu ukicheki unajua kabisa umetumia paketi tatu...
Diamond alipokua broke alidharauliwa sana na wanawake kutokana na malezi yake ya kifukara na mamaake masikini wa kutupwa. Leo diamond ana pesa wanawake wazuri wote wanamtaka ila diamond hajasahau...
Jana tulikuwa na party flani pale home kwangu oyster bay. Ilikuwa ni Nyama Choma Party. Kuku choma, mbuzi choma na samaki choma. Nliwapata jamaa kadhaa wataalamu kwa ajili hiyo.
Nashukuru...
Wakuu ni mwaka mmoja Toka nimehitimiu PHD katika chuo fulani ufaransa Naombeni wajuzi na wanafalsafa nioe mke wa level gani kielimu tuende Sawa.
You're prohibited to joke, please Comment...
Nilimwacha mwenyewe baada ya kugundua ana msichana mwingine mapenzi yalikuwa ya o level kidato cha nne kwa pale shule nilifahamika mimi tu ila nyumbani inaonekana alikuwa na mwanamke mwingine...
Prht Morrice Silvar to NGUVU KATIKA DAMU YA YESU
1 hr ·
KANUNI 30 KWA WANAWAKE NDANI YA NDOA
1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima.
2)...
Mwanamke akiwa na umri wa miaka 13 ukimwambia "Mambo? Atakujibu safi shikamoo
Mwanamke akiwa na umri wa miaka 15, ukimwambia "Mambo? Atakujibu powa vipi?
Hapo ameshaanza kuelevuka hata shikamoo...
Habari zenu wakuu!
Nimekutana na thread humu ikizungumzia namna mganga alivyomtapeli baba ya mtoa mada m20+, lakini kilichonivutia kuanzisha sired yangu ni comment ya memba mmoja ambae anasema...
Salam Wakuu
Huwa najiuliza sana kuna uhusiano upi kati a mawasiliano yako na mtu ambae hamjuwani kuhitaji kujuwa kazi yako tena kwa siku hio hio mlioanza mawasiliano?
Nimekuwa nikishangaa sana...
Wewe ni mke wa mtu! Mchana umetoroka kazini ukaenda kuchepuka kwenye hotel X. Wakati mkiwa ndani mnafanya yenu huku nje wamekuja polisi wakazungushia utepe kwenye hotel kwani inasadikika kuna...
Habari za juma pili.
Niende kwenye mada. Inshort ni mwanamke tulie achana miaka 5 nyuma ikiwa mimi ndio chanzo.
Tumejikuta tunaingia tena katika kulingana na kila moja bado kua na feeling na...
Kwa mfano wewe mdada una kazi nzuri ya ofisini inayokulipa laki 8 kwa mwezi na umetoka familia inayojiweza kipesa, mwanaume kakutongoza, umemkubalia, na papuchi ukampa, kipato cha mwanaume...
Nimewaza tuu, hivi ndio ukute umeenda kuchepuka na manzi kwenye hoteli kama hiyo ya themi hill alafu ndio yanatokea hayo ya mgonjwa wa corona then inafungwa. Utaambia nn mke wako au mke utaambia...
1. Ni rahisi kuporomoka kiuchumi hasa ikitokea ka bibi mdogo ukakaleta karibu na biashara zako au kakawa kasimamizi ka baadhi ya Mali zako katakua bize kujifanyia malimbikizo ya fedha zako.
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.