Hivi wadau imekaaje hii unamuita demu muonane maeneo fulani alafu anakuja na rafiki zake

Okinawan

JF-Expert Member
Apr 10, 2018
232
250
Wewe ukishaona anakuja na rafiki zake kwa mbali wewe sepa kabla hata hawajafika mezani halafu jifiche mahali wakipiga simu waambie nakuja nimetoka Mara moja.Ila ukiona dem yeyote anakufanyia hivyo jua hakupendi na hapo anapanga kukukomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
15,211
2,000
Ungejikeep busy na rafik yake mmoja tu

Apply this, thank me later...
Hajikurudia kuja na rafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikutana na Bidada Fulani ivi Dukani kwake nilikua Namchukulia Mama yangu zawadi ya Sikukuu.


Tukapeana namba, basi akawa nafujo weeee jion tukutane.


Ebwana Ila natinga namkuta kakaaa na Bidada mmoja mwenzake.


Nkaona sio shida, Agizeni na kunyweni..( mie Sinywi ,so nkaagiza Juice safiii)


Wakala kitimoto weee, wakanywaaa wee ( infact niljilaumu moyoni moyoni ivi Leo kweli Pesa yangu inalipia Kitimoto?)

Baadae nkaamua kujikita na Bidada Rafiki, kwanza yeye ndo alikua mzuriiii, kajaa, ana minofu, mchangamfuu, alafu baada ya kulewa akaanza visa.( Bidada mwenyewe naye alikua mzuri,kajaa Mchaga)

Huyu alipoona ivo, akaanza habari za ohooo shoga muda wa kuondoka umefika..


Bidada rafiki akawa anakomaa mie nipo na G..


Kukatisha Stories.. siku chache zilizofuata Nilimla Bidada Rafiki... Nikiwa naweka mazingira ya Kumla Bidada mwenyewe ( nkagundua washenzi wote ni wameolewa na wote ni wake wa Askari Polisi)


Nkaachana nao.
 
Top Bottom