Aisee leo nimepanic kwa ghadhabu, hata nimesahau kuwasalimia.
Nina vijana wangu watatu wa kiume wote, umri wao ni miaka 13, 12 na 8 ambao nawalea mwenyewe [singo dadi] baada ya kutelekezwa na...
Ina maana mwanaume kumkataa mwanamke kimapenzi sio sawa, ila mwanamke kumkataa mwanaume kimapenzi ni sawa?
Kuna mdada mmoja juzi kati alikuwa ananionesha kwa maneno na kwa vitendo, ishara nyingi...
Tunasikia ndoa zina changamoto nyingi, lakini as long as mmeamua kwa hiari yenu kuishi pamoja na kula kiapo Cha "mpaka kifo kitutenganishe" basi tujitahidi kulinda viapo vyenu!
Huu ni mfano tu...
Mimi ni kijana mwenye miaka 30. Sijaoa, nina mpenzi mmoja rasmi na watatu wa "kugongana" nao. Sina mtoto hata wa kusingiziwa. Ni Engineer, nina mshahara na ninafanya biashara.
Niliacha pombe za...
Niliacha kazi serikalini mwaka 2016
Nikaamua kuzunguka mikoa ya baridi kupanda miti ya matunda (Napenda INVESTMENT kuliko BIASHARA).
Sasa bana mvua za msimu huu wa 2019/20 nimeamua kupiga kambi...
Habari zenu wana jamvi. Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia katika mahusiano ili tufunge ndoa .Sifa awe mrembo mchapa kazi mwenye upendo ,dini yoyote ila tukifikia hatua ya ndoa awe tayari...
Leo asubuhi Nilikua nafanya mazoezi ya kukimbia, ilikuwa ni asubuhi ya saa kumi na mbili, na ni barabara ambayo sijawahi kufanya joging. Wakati nikiendelea kukimbia kwa mbele kama nusu Kilometa...
Habari wanajukwaa. Samahani kidogo,
Nimekutana na changamoto moja kwenye mahusiano lakini nikaambiwa tatizo simfanyi mpenzi wangu kuwa MWANAUME.
Kiukweli sijaelewa ni kivipi naweza mfanya awe...
Hili swala nimekuwa nikilisikia, sijawahi kulishuhudia hata siku moja lakini leo nimeliona.
Mwezi kama mmoja uliopita kuna jamaa yetu alifariki, huyu jamaa tulisoma nae shule sekondari mkoani...
Ni yapi matumizi sahihi ya nyonyo (Maziwa/Matiti) ya kiume?
Nimekuwa nikijiuliza, jiangalia na kushangaa hizi nyoyo matumizi yake ni yapi?
Maana nafahamu fika matumizi ya vidole, macho, maskio...
Nimekuwa ni wakuondoka ondoka kishughuli na mtoto kumuacha nilishamwach mwaka mzim hatujaonana akiwa na miaka miwil badae nikakutananae nikakaa nae ila alikuw hatak kula hali ilonifany niwe...
Wasalaam wakuu.
Nipo na jamaa yangu, sio mwana JF,
Jamaa huyu amekuwa na mwanadada ayemwita mpenzi/mchumba wake yapata kipindi cha miaka mitatu sasa.
Jamaa yangu anaeleza kuwa mwaka mmoja wa...
Wakati mpo shule, kuna watu walikuwa wanaonekana wajanja sana kuanzia mavazi mpaka mfumo wao wa maisha.
Wale waliokuwa wanaonekana watoto wa kishua, wenye kujua kila style leo hii maisha...
Habari zenu wadau,
Samahani,
Pete nzuri ya kumvisha mtoto wa kike (Engagement Ring), ni ya aina gani? (Silver au Gold?
Na inatakiwa iwe na gram ngapi?
NB: Take it serious.
Mambo niaje?
Nyie wanawake ambao hamko ndoani, mkiingia kule muda ni mchache na Mambo ni mengi. Mambo ya romances sijui kubambiana Akama mnavyofanya na jamaa zenu kule hamna, jiandaeni...
Habari wana jf
Leo ni siku ya weekend nmetulia nyumbani. Kama mjuavo serikali imezuia mizunguko isiyo ya lazima. Nkasema leo niangalie movie inaitwa FIRE PROOF MY MARRIAGE kuzuia nisiondoke home...
Hali ni mbaya
Kesi nyingi ni imported
Muhimu kupeana tahadhari maana madanga yanachanganya sana.
Jana alikuwa na mnaijeria leo yupo na mfilipino au mmarekani. Watatuuwa hawa.
Tufunge zipu...
Huu ugonjwa umewaathiri vipi katika mahusiano yenu? Kwa sababu najua mapenzi au mahusiano yana mambo mengi, kuna kukaribiana karibu, kugusana, kuleteana zawadi, kunyweshana vinywaji, chakula...