Ushauri: Pete ya ndoa

Blessed Jr

Senior Member
Nov 17, 2016
134
235
Habari zenu wadau,

Samahani,

Pete nzuri ya kumvisha mtoto wa kike (Engagement Ring), ni ya aina gani? (Silver au Gold?

Na inatakiwa iwe na gram ngapi?

NB: Take it serious.
 
Habari zenu wadau,

Samahani,

Pete nzuri ya kumvisha Mtoto wa Kike (Engagement Ring), ni ya aina gani? (Silver au Gold?

Na inatakiwa iwe na gram ngapi?

NB:Take it serious.

Nunua princess cut diamond wedding ring.

gia-certified-1-carat-princess-cut-diamond-vintage-wedding-ring-set-in-white-gold.jpg
 
Hii sio bei ya Vits kweli?!

Princess cut mara nyingi budget yake huwa ni kubwa [relatively speaking].

Ukiwa na muda wa ku shop around unaweza ukabahatisha bei yenye nafuu kulingana na uwezo wako.

Ila kwa uzoefu wangu, ukitaka kum 'wow' mdada basi mnunulie princess cut diamond ring.

Lakini kwanza ni lazima huyo mdada awe na exposure na ufahamu wa princess cut ni nini.

Kibongo bongo sidhani kama wengi hata wanajua hicho ni kitu gani achilia mbali uthamani wake.

Ningeweza ku suggest atafute round brilliant cut lakini....
 
Haya mavitu siyajui kabisa. Naonaga bei kubwa tu.
 
Hivi inawezekanaje jambo dogo kama hili uje uulize mitandaoni?Natabiri kuwa siku mkeo akikukwaza kidogo tu utakuja tena kuuliza ufanyeje.Nadhani kama haujakua subiri kwanza,mpaka utakapokomaa kimawazo.
 
Back
Top Bottom