Je huu ugonjwa wa corona umewaathirije kwenye mahusiano?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,269
40,056
Huu ugonjwa umewaathiri vipi katika mahusiano yenu? Kwa sababu najua mapenzi au mahusiano yana mambo mengi, kuna kukaribiana karibu, kugusana, kuleteana zawadi, kunyweshana vinywaji, chakula, kubadilishana vinywa n.k Je kwa hali ya sasa bado mnayaendekeza hayo? Tukumbuke pia, kwenda mbinguni kwa baba kuna njia nyingi.
 
Back
Top Bottom