Ushauri wa haraka unaombwa: Pitia hapa

Ushauri wa haraka unaombwa: Pitia hapa

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Wasalaam wakuu.

Nipo na jamaa yangu, sio mwana JF,
Jamaa huyu amekuwa na mwanadada ayemwita mpenzi/mchumba wake yapata kipindi cha miaka mitatu sasa.

Jamaa yangu anaeleza kuwa mwaka mmoja wa mwanzo wa mahusiano yao alifurahi sana na walipendana na mchumba wake,

Baadae Mambo yalianza kubadilika, mdada akawa haeleweki tena, simu mpaka atafutwe, dharau kibao juu ya jamaa, furaha ikatoweka huzuni ikatanda maishani mwa jamaa yangu.

Sasa jana jamaa yupo kwa anayemwita mchumba wake, sijui kilitokea nini mpaka jamaa anasukumwa kufungua pochi ya mpenzi wake, mama weeeeeee jamaa alichokikuta anasema kinywa kilikata maneno, . Jamaa anashangaa kukuta condom moja kwenye pochi ya mpenz wake, alafu wakati huo mpenz wake akawa anadai maumivu sehemu za Siri.

Mpaka mda huu jamaa mawazo ya nini afanye ni kama yupo njia panda.

Huyu mdada ni mwanachuo hapa Tanzania. Na jamaa anaonekana kuwekeza sana kwa huyu bidada.

Ushauri wenu ntaufikisha kama ulivyo bila kupekecha macho

Karibuni kwa mawazo na ushauri.
 
Kwa ni ngumu sana kuachana? Hawajaoana. Kwanini uwekeze sana bila mkataba wa ndoa? Ajifunze kwa hilo.
 
Haraka sana amuache wala asiangalie ameweka pesa kiasi gani,apotee wala asisikilize samahani yake maana tabia ya huyo hatabadilika na zaidi yake ataendelea kwa kujificha tu na jamaa atakua na mke malaya bila yeye kujua. Swala la matamanio ya sula u umbo la huyo mwanamke aliweke pembeni kabisa..kwanza hakuna mwanachuo mwaminifu ktk swala la mapenzi yeye anahangaika na mwanachuo wa nini
Wasalaam wakuu.

Nipo na jamaa yangu, sio mwana JF,
Jamaa huyu amekuwa na mwanadada ayemwita mpenzi/mchumba wake yapata kipindi cha miaka mitatu sasa.

Jamaa yangu anaeleza kuwa mwaka mmoja wa mwanzo wa mahusiano yao alifurahi sana na walipendana na mchumba wake,

Baadae Mambo yalianza kubadilika, mdada akawa haeleweki tena, simu mpaka atafutwe, dharau kibao juu ya jamaa, furaha ikatoweka huzuni ikatanda maishani mwa jamaa yangu.

Sasa jana jamaa yupo kwa anayemwita mchumba wake, sijui kilitokea nini mpaka jamaa anasukumwa kufungua pochi ya mpenzi wake, mama weeeeeee jamaa alichokikuta anasema kinywa kilikata maneno, . Jamaa anashangaa kukuta condom moja kwenye pochi ya mpenz wake, alafu wakati huo mpenz wake akawa anadai maumivu sehemu za Siri.

Mpaka mda huu jamaa mawazo ya nini afanye ni kama yupo njia panda.

Huyu mdada ni mwanachuo hapa Tanzania. Na jamaa anaonekana kuwekeza sana kwa huyu bidada.

Ushauri wenu ntaufikisha kama ulivyo bila kupekecha macho

Karibuni kwa mawazo na ushauri.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Yalishawahi kunikuta kikubwa jamaa naye ajiweke busy tu aachane na huyo mwanamke kikubwa ale time zake wala hata asimtukane wala kugombana unakausha tu watu tupo 7billion kwanini mtu akunyanyase wakti wewe ni dhahabu amka vuta vumbi maisha yaendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbavu unagharamia je mtoto wa mwezio tena mtu mzima bora angekuwa mdogo. Mwambie nimesema aache upumbavu gharamikie mwanamke anae muoa ila aoe ndio agharamike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabinti wengi wakiwa vyuoni hupenda kuishi maisha ya tamthilia na hicho ndicho kinachowaponza na kuwafanya wawe na tamaa.Jamaa anatakiwa afanye maamuzi magumu ya kumuacha aende.
 
Ampige chini halafu amzunguke kimya kimya amtangaze kuwa ana korona akimbiwe kila atakapofika
 
Back
Top Bottom