Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 829
Habari wana jf
Leo ni siku ya weekend nmetulia nyumbani. Kama mjuavo serikali imezuia mizunguko isiyo ya lazima. Nkasema leo niangalie movie inaitwa FIRE PROOF MY MARRIAGE kuzuia nisiondoke home
Baada ya kuangalia nkajifunza kitu kikubwa sana katika movie hii namna njema ya kutatua migogoro ya mahusiano bila mihemko.
Hizi ndio njia nlizojifunza kupitia movie
SOLVING CONFLICT IN LOVE
After Confict occur in love with no communication. how to solve?
Day 1
Usiseme vitu hasi kwa mpenzi wako hata kama ni kweli amekosea au anaudhaifu katika kipindi cha mgogoro
Ni vizuri kukaa kimya, sema taratibu bila sauti kubwa
Don't say negative things to your lover., if temptation arises it better to say nothing.quickly slow, listening slow angry James 1:19
Day 2
Ni ngumu kuonesha upendo kipindi cha migogoro
Onesha upendo kiutofauti kwa kufanya kitu kinachoashiria upendo asichotarajia angalau kimoja
It is difficult to demonstrate love in difficult time
Do atleast one unexpected gestures
Day 3.
Ni ngumu kujali mtu asiyekujali
Mnunulie kitu chochote kizuri mke wako
Its hard to care for something/someone who don't care.
Buy something to your wife
Day 4
Unaweza mpigia simu akiwa kazini kama huwa umpigii na ukamuuliza hata nini kimepungua au kimeisha nyumbani.
Baada ya hapo tumbukizia ka swali.
Unaendeleaje na kazi/ unajisikiaje leo
Call and check on her,
Ask can i bring something from store for you,
Ask are you ok?
Day 5
Fuatilia toka alipogombana nawe anapendelea kufanya nini? Kama anapenda kula chipsi pekeyake mnunulie mletee ale pekeyake usile naye anaweza kataa ukaumbuka
Study her again, hobbies, likes and dislikes
Day 6
Zuia vishawishi vya kuiba penzi kwani huja kipindi una migogoro ya mahusiano. Mfano. Unaweza kuta ex wako anakutafuta kipindi unamgogoro na wife wakati siku zote hakutafuti. Ukiona unamkumbuka ex wako kipindi hicho Kemea kwa sauti kubwa huyo ni shetani. Haitotatua mgogoro
Avoid parasites to your marriage
Especially during conflicts
Parasite try to stole someone's heart who is in conflict. someone try to stole heart of someone for aim of increasing big problem that leads to betrayal
Day 7............
Endelea kutimiza majukumu yako onesha kuwa unajali zaidi ya mwanzo.
Anzisha vitu vitavyokupa furaha binafsi nje ya mpenzi wako ili kijilinda na maumivu. Mfano unaweza download game kwenye simu ukacheza, kusikiliza mziki, nk Continues
Perform all your responsibility, care for her more than once and create hobbies that makes you happy
Tumaini siku zote hujificha mahali penye kukatisha tamaa. Unaweza fanya yote hayo mwisho akasema sikupendi kabisa. Lakini kumbe moyoni analia kwanini amesema hivo
Finals Response show she say
"I DON'T LOVE YOU"
But inside she is cry herself
Kuwa mvumilivu mpaka atapoamua kutoa msamaa. Kwani mapenzi ni hisia. Sio ku force msamaha
God doesn't judge by your standards but His standard
Romans 10:9
Nilivojifunza jinsi ya kutatua matatizo katika mahusiano.
Nawasilisha