mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 681
Hali ni mbaya
Kesi nyingi ni imported
Muhimu kupeana tahadhari maana madanga yanachanganya sana.
Jana alikuwa na mnaijeria leo yupo na mfilipino au mmarekani. Watatuuwa hawa.
Tufunge zipu wajameni japo kipindi hiki tu.
Sent using Jamii Forums mobile app