Natafuta marafiki wakike

Team R

Senior Member
Jan 2, 2014
186
32
Habri wanajf mm nikijana wa miaka 25 natafuta marafiki wakike waliotayari katika kushauriana kuwasiliana na kusaidiana awe na umri kuanzia 19 hadi 23
 
Kamasi wewe, Hilo swali langu lina kosa gani? Fuatilia pua zako zako kwanza hujatosha kufuata nyendo zangu.

Mbu wa kienyeji.
Wew ni chizi na akili hauna ndio maana unataka ku prove kwamba uko timamu , kama kawaida ya mtu asiyekua na akili hutumia hasira na nguvu kutoa point sababu ana miss , department ya kichwa wewe sio bure dish litakua limeyumba
 
Wew ni chizi na akili hauna ndio maana unataka ku prove kwamba uko timamu , kama kawaida ya mtu adiyekua na akili hutumia hasira na nguvu kutoa point sababu ana miss , department ya kichwa wewe sio bure dish litakua limeyumba
Unakaa kufuatilia nyendo zangu humu kwanini usiangalie ukuaji wa MAKALIO YAKO.
 
Unakaa kufuatilia nyendo zangu humu kwanini usiangalie ukuaji wa MAKALIO YAKO.
Nimekuta comments zako nying ukitukana watu , na kila wakati wew uko kinyume na wenzio hutoi hoja unatafuta ku provoke mtu , ndio maana nasema wewe ni mtoto hujakua bado ,
 
Nimekuta comments zako nying ukitukana watu , na kila wakati wew uko kinyume na wenzio hutoi hoja unatafuta ku provoke mtu , ndio maana nasema wewe ni mtoto hujakua bado ,
Unapoteza tu muda wako kunichunguza ungekuwa busy kuhangaika na Fangasi za ubongo wako ungekuwa umepona.
 
Naheshimu sana post yako Kaka ila kuna Digidigi lilitakiwa kuongozwa njia.

Niwie radhi.
Heshima utoe wapi wew hakuna hata sehemu moja nilipoona unatoa mchango constructive hupenda kuzusha marumbano huuliza swali la kinafki iliuanze kutukana watu , yaan unatafuta angle tu .
 
Heshima utoe wapi wew hakuna hata sehemu moja nilipoona unatoa mchango constructive hupenda kuzusha marumbano huuliza swali la kinafki iliuanze kutukana watu , yaan unatafuta angle tu .
Wewe na Mods nani mwenye akili, hii JF ina sheria zake kama unaona bado nipo huku sipewi Ban basi jua sijavunja sheria.

Na nitazidi kukusumbua sana kumbe unakaa humu kuona nafanya nini! Mjinga wa Akili wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom