Huu ni umri hatari kwa wakina dada,baharia uwe makini

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,383
40,282
Kuna huu umri wa kuanzia miaka 30+ kwa wakina dada,ni umri hatari kweli hasa kwa hawa ambao hawajaolewa au single M; baharia ukipita tu kimasihara,atakuganda kweli kweli kama mumewe haijalishi kama una mke au la; yeye atataka akumiliki au atakuambia umfanye awe mke wa pili au mchepuko wa kudumu. Kwa hiyo mabaharia mjiandae kisaikolojia unapokutana na changamoto za namna hiyo; mara nyingi kwenye hilo rika wadada wengi wanatamani watulie na mtu mmoja anayeeleweka kuliko kuchovywa chovywa na watu tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom