Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mchungaji kaongea facts sana! Binafsi nimefurahi!! Tazama video hii hapa!
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hapa nazungumzia vibarua viliowahi kuota nyasi kisa unatupia pamba Kali hadi boss anaonekana mfanyakazi wako na hii kupelekea kufanyiwa figusifigusi hadi kufukuzwa kazi tukutane hapa! Kwa kifupi...
5 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwamba ukimuona Binti Fulani au Mwanamke Fulani anaonyesha Upendo mkubwa kwa Rafiki yake wa Kike / Mwanamke ambaye ana Mpenzi wake au Mumewe ( mwenye uwezo Kiuchumi ) basi jua ya kwamba hapo kuna...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, hali yangu ya kiuchumi sio kwamba ni mbaya, HAPANA! nipo vizuri tuu napata ninachokitaka ila sasa kuna mtihani umenijia! Kuna mama mmoja hivi mmiliki wa mabus ya mkoani, pia ana hotel...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari waungwana : Jamani naomba kuuliza hivi kwanini Wanaume wa Pwani wanajua sana mahaba tofauti na wale wanaume wa bara Wanaume wa bara kwenye kuonga aswa kina ngosha wapo vizuri hatari ila...
19 Reactions
389 Replies
33K Views
Kiburi, dharau, kauli chafu, ugomvi, ubishi na kero nyingine nyingi saaaaana vyote vya kwao. Nasubiri ajifungue huyu akirudia kufanya mawili au matatu kati ya hayo niliyotaja namrudisha nilipomtoa.
29 Reactions
135 Replies
11K Views
Pamoja na kuwa kama taifa tuko kwenye taharuki ya gonjwa Hili la corona lakini hii haituzuii sis wanaume kuendelelea na mapambano yetu ya kila siku. Na mapambano yetu siku zote hayakamiliki bila...
7 Reactions
132 Replies
22K Views
Leo nimeamka nikakumbuka 2 years back ambapo nilifanya kituko cha kijinga sana lakini ndicho kilichobadili historia ya maisha yangu. Nilikuwa na boyfriend wangu niliyemuheshimu na kumpenda sana...
107 Reactions
228 Replies
28K Views
Habarini wanajamvi. Katika pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na hili bandiko katika page ya mauki. Ni topic nyeti sana.....ambayo wengi tunaweza ona ni kawaida ila ni ukweli mzito. Hebu...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Suala la uaminifu katika mapenzi kwa karne hii limekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi sana, wengi wemekuwa si waaminifu wakati mwingine kupelekea mahusiano hayo kufa. Hivyo uaminifu ni muhimu...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
MSIPOTEZE MUDA MLIOPEWA NA MUNGU, WA KUISHI NA MKEO AU MUMEO AMA MPENZI WAKO, KWA KUNYANYASANA NA KUGOMBANA. KUNA MUDA MCHACHE SANA WA KUPENDANA..!! TAFAKARI ANDIKO HILI:- AYUBU 14 :1-2 Mwanadamu...
19 Reactions
65 Replies
5K Views
Miaka tano hivi imepita baada ya Ex wangu kuniambiea ‘’nisiwe nang'ang'ania vitu vyenye thamani ya gari wakati hata spea ya piki piki sina”. Mwana JF kauli hii aliniambia Ex wangu baada ya...
34 Reactions
97 Replies
8K Views
Wale wazee wa kudere X, zile zinaharibu sana, sasa ukute mtoto wa kike anaangalia X ujue huyo kashindikana, maana atataka ajaribu kila atakachokiona. Hata haya mambo ya kuzama uvinza, kutuma...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Naandika si kwamba nahitaji ushauri, ila nataka ujifunze kama unatabia hizi na unahisi mpenzi wako hakujui. Nilianza mahusiano na huyu dada miaka miwili iliyopita kule Moshi. Kwasasa naishi...
5 Reactions
53 Replies
8K Views
Kwanza Naanza Kuelezea Plan Zangu... 1. Nimejiunga Na Badoo Mtandao Pendwa Huu Watoto Wadada Wamama Majimama Kama Yote 2. Nimeanza Kujieka Nadhifu, Full Kuchomekea Very Smart 3. Napambana Nivute...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Poleni na majukumu na hongereni kwa kuhimizana namna ya kuidhibiti corona. Twende pamoja. Wakuu, ipo hivi: Hapa mimi ni msaka tonge kama ilivyo kwa wengine sasa mwaka 2017 kuna dada akawa mteja...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Sisi wanaume vyote tunavyofanya tunafanya kwa ajili yenu (Tunafanya kazi kwa ajili ya hapo njiapanda ya miguu yenu ilipootea) Wanawake inatakiwa mringie sana hiyo kitu maana sisi tunaihitaji...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Hellow jamn, Direct to the point. Jpili ya jana niliona nitumie siku nzima nyumban sababu usk wa kuamkia jpili nikua tungi vibaya sikumbuki ata home nilienda saa ngapi. Baada ya kuamka nikasema...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Binti mmoja nilimtokea wiki mwezi uliopita, binti yule kwakweli nilimpenda sana na nilijitoa kwa chochote alichohitaji. Sasa moja kwa moja kulingana na umri alionao, alijikuta sana na kujiona...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani tujitahidi kuwa wasafi tunapokuwa faragha na wenzetu. Umetoka safari angalau jisafishe uondoe jasho, paka mafuta na marashi. Usafi ni muhimu kwenye majambozz wapendwa tofauti na hapo ni...
10 Reactions
89 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…