Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,530
- 62,969
Nilitembelea mtandao mmoja kwa ajili ya kuosha macho tu ili kuongeza ufahamu katika ubongo wangu. Nikakutana na wadada wako sokoni, kwa lisaa limoja ni USD 100. Ikabidi nichukue kikokotozi changu nikaanza kupiga hesabu.
Katika masaa 24 kwa siku tuchukulie ametumia masaa 10 = 10 x 100 x tsh. 2,316 =2,316,000
Kwa mwezi, tuchukulie alitumia siku 20 = 20 x2,316,000 = 46,320,000
Kwa mwaka, miezi 12 = 46,320,000 x 12 = 555,840,000
Kama atafanya kwa miaka 5 alafu astaafu = 555,840,000 x 5 = 2, 779,200,000
Tunaweza kuwacheka kumbe wanatengeneza hela ndefu