Itakuwaje na tumeshapokea michango ya harusi?

Canberra

Senior Member
Joined
Mar 23, 2020
Posts
176
Reaction score
362
Tulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.

Kutokana na agizo la serikali kuzuia mikusanyiko tumeamua kufunga harusi bila ya kuwa na sherehe wala watu zaidi ya mashahidi na baaadhi ya wanafamilia.

Mnanishaurije kuhusu michango iliyochangwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungeni ndoa kanisani au kutokana na imani zenu, pesa za michango fanyeni mambo ya maendeleo. Natamani ningekuwa na mchumba nioe kipindi hiki bila masherehe.

Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
 
waulize wahusika kama wanaridhia tumia ka hawaridhii rudisha.
 
mkuu nirudishie 200,000 yangu tafadhari kabla sijaliamsha dude, haiwezekani nimekosa hata maji ya masafi tuu, nasubiri muamala m-pesa hope ushanijua.
 
Kwani kigumu cha kurudisha pesa za watu ni nini mkuu? Usianze ndoa na mabalaa!

Watu walichanga ili waje kwenye sherehe kwa kuwa sherehe haipo tumia busara tu warudishie pesa zao. Hukuwa hata na haja kujiuliza hili, ukiona unajiuliza haya ni kwa sababu umeanza kuzitamani pesa za watu.

Nakukanya tena, usianze maisha ya ndoa na vinyongo na pesa za watu. Nimepigia mstari makusudi hii mkuu
 
Tulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.

Kutokana na agizo la serikali kuzuia mikusanyiko tumeamua kufunga harusi bila ya kuwa na sherehe wala watu zaidi ya mashahidi na baaadhi ya wanafamilia.

Mnanishaurije kuhusu michango iliyochangwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
funga ndoa Corona ikiisha waite watu waje kula kunywa na kucheza jasho la mtu halipotei bure
 
Tulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.

Kutokana na agizo la serikali kuzuia mikusanyiko tumeamua kufunga harusi bila ya kuwa na sherehe wala watu zaidi ya mashahidi na baaadhi ya wanafamilia.

Mnanishaurije kuhusu michango iliyochangwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe siyo wa kwanza, ninashiriki sendoff na harusi 6 tofauti zilizopangwa week ya mwisho ya April na mwezi Mei na coincidentally wajumbe woote wamependekeza pesa yote wapewe maharusi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Funga harusi. Sherehe fanya baada ya corona kuondoka. Alternatively, tumia michango kama pesa ya kuanzia maisha.
Tulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.

Kutokana na agizo la serikali kuzuia mikusanyiko tumeamua kufunga harusi bila ya kuwa na sherehe wala watu zaidi ya mashahidi na baaadhi ya wanafamilia.

Mnanishaurije kuhusu michango iliyochangwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumieni zawadi, fikirieni cha kuwapa
Bado mtabaki na change nzuri tu ya kuitumia mtakavyo
 
Tulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.

Kutokana na agizo la serikali kuzuia mikusanyiko tumeamua kufunga harusi bila ya kuwa na sherehe wala watu zaidi ya mashahidi na baaadhi ya wanafamilia.

Mnanishaurije kuhusu michango iliyochangwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona rahisi tu. Waulize waliochanga kama wanataka warudishiwe pesa zao au kama wanataka zote wapewe maharusi wakaanzishie maisha yao mapya. Anayetaka kurudishiwa mpe na wengine wengi (I hope) watataka pesa zao wapewe maharusi
 
Rudishia watu pesa zao. Kuna mama alinikaba sana kuhusu mchango mpaka week ya mwisho ndio nikatoa, ndoa imefungwa kimya kimya na kila nikikutana nae hana hata habari yani. Hata kuniambia kilichojiri hakuna. Namuangalia tu coz kuna mtoto wake mwingine kwenye June au July anaolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anakuona ujue
Umezitamani ama

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tulikuwa tumeshapokea michango kutoka kwa watu karibia asilimia 80 ya tulio wapa kadi za michango wameshatoa michango yao ya harusi.

Kutokana na agizo la serikali kuzuia mikusanyiko tumeamua kufunga harusi bila ya kuwa na sherehe wala watu zaidi ya mashahidi na baaadhi ya wanafamilia.

Mnanishaurije kuhusu michango iliyochangwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanunueni zawadi ya kumbukumbu

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom