Tipwatipwa na baridi

Tipwatipwa na baridi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,460
Reaction score
60,774
Kwenye huu ukanda wa baridi,tulishazoea kuwa tunakunywa kahawa, supu ya motomoto pamoja na vitu vinginevyo ili kuupa mwili joto.

Hata katika mahusiano kipindi hiki ukidate na wale wembamba wembamba ni hatari sana, kwa sababu wanakuwa wanaongeza baridi na kusababisha joto la mwili kushuka.

Ila ukidate na hawa matipwatipwa kipindi hiki cha baridi, utajiona uko ulimwengu mwingine tofauti kutokana na raha utakayoipata....kwanza joto la mwili linaongezeka kwa kasi, hata ukitaka kum-hug mikono inaenda 'automatically'
 
Halafu mnasema tz kuna korona!!
Labda mdogo wake korona lkn kaka lenyewe naona bado lipo huko mambele siku likitimba mbona mada zitageuka tu!

Vichwa vya habari vitakuwa
"Jamani hivi ukishaweka pilipili hoho, muarobaini na nazi na konyagi ndo unajifukiza au bado..?"
 
ha ha ha ha weka hofu pembeni mkuu
 
Kama umuhimu wetu ni huo bora tu nikazane na mazoezi niwe slim.
ha ha ha kama una hizo sifa mkuu hongera sana, najua utakuwa umekutana na mabaharia wengi
 
Halafu mnasema tz kuna korona!!
Labda mdogo wake korona lkn kaka lenyewe naona bado lipo huko mambele siku likitimba mbona mada zitageuka tu!

Vichwa vya habari vitakuwa
"Jamani hivi ukishaweka pilipili hoho, muarobaini na nazi na konyagi ndo unajifukiza au bado..?"
😂😂😂😂😂😂😂
 
Hao vibonge wenyewe wanafanya sana diet
Wanakunywa maji na pipi kifua ili wawe slim
Wanakunywa Tangawizi na matango ya kutosha
Thin is beauty my friend ukweli utabaki kuwa pale pale
Kwa nini wembamba
 
Back
Top Bottom