Re-re friendship

MysweetL

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
314
340
Mimi ni mwanamke na sio mwanaume kuhitaji urafiki sio lazima muwe wanaume pekee yenu kwa manaa mna dhani mimi ni mwanaume sijui shoga no.
Mimi mwanamke nakuomba kuwa rafiki wamtu sio mbaya kwani ni ombii.
Kama mtu hataki sio lazima
 
Dada una shida gani? Nimetoka kucomment uzi wako wa jana unatafuta marafiki...hawajaja mpaka umefungua mwingine?
Hizi self karantini kuna watu zitawaletea sonona
Ahaa ni kwamba mtu tu anaona kama nahitaji sana ujio wao hapana just if someone akitaka sio lazima watu ni wazima ila wanakashfa meaning inside here wapo watoto
 
Hivi inakuwaje unatafuta marafiki hapa jf kwa zaidi ya siku kadhaa haupati? Tena wewe ni mwanamke?
Hii inatia shaka!
Mpaka mashoga wanapata marafiki, sasa wewe tangia juzi unatafuta tu hupati?
 
Sistaa mimi mwenyewe napenda marafiki wa kike na nipo Arusha kama uzi wako ulivyotaka. Sasa basi tuwe marafiki au unaonaje?
 
Mimi ni mwanamke na sio mwanaume kuhitaji urafiki sio lazima muwe wanaume pekee yenu kwa manaa mna dhani mimi ni mwanaume sijui shoga no.
Mimi mwanamke nakuomba kuwa rafiki wamtu sio mbaya kwani ni ombii.
Kama mtu hataki sio lazima
Nifanye niwe rafiki yako..😉
 
Mimi ni mwanamke na sio mwanaume kuhitaji urafiki sio lazima muwe wanaume pekee yenu kwa manaa mna dhani mimi ni mwanaume sijui shoga no.
Mimi mwanamke nakuomba kuwa rafiki wamtu sio mbaya kwani ni ombii.
Kama mtu hataki sio lazima
Chai Haina sukar please

stidy
 
Dada una shida gani? Nimetoka kucomment uzi wako wa jana unatafuta marafiki...hawajaja mpaka umefungua mwingine?
Hizi self karantini kuna watu zitawaletea sonona
Corona hii wanaume Bado
Tunapenda uhai wetu

stidy
 
Ahaa ni kwamba mtu tu anaona kama nahitaji sana ujio wao hapana just if someone akitaka sio lazima watu ni wazima ila wanakashfa meaning inside here wapo watoto
Unataka kuanzia miaka ngapi dada

stidy
 
Hivi inakuwaje unatafuta marafiki hapa jf kwa zaidi ya siku kadhaa haupati? Tena wewe ni mwanamke?
Hii inatia shaka!
Mpaka mashoga wanapata marafiki, sasa wewe tangia juzi unatafuta tu hupati?
Mpeleke cocobeach mkuu

stidy
 
Hivi inakuwaje unatafuta marafiki hapa jf kwa zaidi ya siku kadhaa haupati? Tena wewe ni mwanamke?
Hii inatia shaka!
Mpaka mashoga wanapata marafiki, sasa wewe tangia juzi unatafuta tu hupati?
😁😂😂😂😂😂 sio sipati watu wakoo wengi ila kina comment za upuuzi zinakukera
 
Back
Top Bottom