Wanawake sio watu wazuri

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Manzi fulani nilipata kuwa

Alikuwa wa kawaida, sio pisi kivile au OVYO kilive, mshikaji nikajiona ni wakatu wa kutafuta pahala pa kuweka mbegu zangu, nikawa naye kwa kitambo kwenye hiyo relationship.

Hata Bi mkubwa akapata kumfahamu (sikuwahi tambulisha mtu yeyote wa aina ile hapo before). Nilifanya hivyo kubuild trust kwa Manzi.

Katika kujiongeza thamani nikawa nafanya kila kitu kile nitarajiwacho kufanya kwa Manzi, Miezi ikasonga, ikafika muda akasema yuko na mtoto kwa tumbo. Mzee mzima nikawa excited sana kujua sasa nakuwa Dady. Hata nika mtell Bi mkubwa, naye akanipa Hongera yake.

Siku zikaende, akaja kutaga mtoto. Nikamuita Owden.

Baada ya wiki chache nikaenda kumpeleke Owden kwa Bibi yake akapatepo vibaraka, tulienda sote na *****.
Maisha yakawa yanaendelea, Sikuwa na kipato cha kutisha sana ila baada ya Manzi kutaga mtoto nikawa nina mCash USD 100 Kila week. Hiyo ni kwa ajili ya matumizi yake na Owden.

MWAKA 1 na NUSU Baadaye. Ninakuja kugundua owden sio Mwanangu wa Damu. Dah IKANI PAIN KINOMA.

Hata kwa job nikawa nakosa mshawasha wa kupiga kazi. Kimwili ni kionge fulani hivi, ila baada ya kujua ukweli kuhusu Owden nikawa kama mgonjwa wa HVI. Nikawa nakula gambe sana, nashinda sana viwanja kujua itanipunguzia PAIN. Ila hakuna kilicho badilika.

Sometime naingia kwa Job nikiwa tungi mzee baba. Dah hadi nikapoteza kazi. Nikawa nashinda home tu. Mshakaji wangu akija nitembelea home anakuta chupa za gambe mithili kulikuwa na Party ghetto kwangu.

Ilinichukua muda kama miezi 2 hivi ndio kuja KumTell Bi Mkubwa kuwa Owden hakuwa wangu. Bi mkubwa kasema Nisijali mzee baba, kwamba mimi sio wa Kwanza kupitia hiyo Changamoto. Na kwamba ni vyema nimetambua hilo hivi sasa.

Kumbuka hapo nilikuwa tayari nimeachana na Manzi mazima kabisa yaani. Ilinichukua muda kuwa normal. Mshkaji wangu alikuwa nanipa kampani ya kunitoa Oot na Kwenye MaClub ili nisahau Yote yaliyotokea. It Worked.

Baadaye nikapata Job pahala pengine. Life ikaendelea. Baaday kama miezi 7 Maisha yalikuwa yamempiga sana Manzi. Akawa ananitafuta kwenye simu, whatsapp, FB, nk. Ila mzee baba nikamkkatia kamba mazima. Manzi akaamua kwenda kwa Bi Mkubwa eti anisaidie kuomba msamaa kwangu ili nirudiane naye, Bi mkubwa akawa naye anamkatia kamba Kwa maneno makali.

Manzi akakoma mazima kuendelea kututfuta. Ni miaka 3 imepita sasa. Sijawahi sikia lolote kuhusu yeye na mimi niko na mishe zangu.

WANAWAKE NI WANYAMA SANA AISEE, NILISUMBUKA KWA NAMNA SIKUWAHI KUONA AISEE.
 
mke wangu nampenda mno na nina muamini sana but watoto wangu wote lazma wakizaliwa tu waende kwa bimkubwa kuangaliwa kama ni wangu na mwisho kabisa dna huhusika japo mwenyewe hajajua mpka leo
 
mke wangu nampenda mno na nina muamini sana but watoto wangu wote lazma wakizaliwa tu waende kwa bimkubwa kuangaliwa kama ni wangu na mwisho kabisa dna huhusika japo mwenyewe hajajua mpka leo
ni sawa kabisa ulichosema.
 
Nyuzi Kama hizi ndizo zinanifanya niwaze nikazame kijijini ndani ndani huko nikachukue mtoto mmoja mshamba Yani mshamba narudia tena mshambaaa kiasi kwamba hata kiswahili anakijua asilimia 5 tu😂😂
Huyu mpaka aje ajanjaruke nitakuwa nishamtia mimba kama nane hivi mpaka nimejichokea halafu ndo nawaachia na vinkwakwara vihangaike na mbibi ambae amejanjarukia uzeeni..
 
Nyuzi Kama hizi ndizo zinanifanya niwaze nikazame kijijini ndani ndani huko nikachukue mtoto mmoja mshamba Yani mshamba narudia tena mshambaaa kiasi kwamba hata kiswahili anakijua asilimia 5 tu😂😂
Huyu mpaka aje ajanjaruke nitakuwa nishamtia mimba kama nane hivi mpaka nimejichokea halafu ndo nawaachia na vinkwakwara vihangaike na mbibi ambae amejanjarukia uzeeni..
hahaha. Naona kama itakupa shida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom