Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Au labda Mwenyezi Mungu alivyowaumba Wanawake hakuwawekea ile roho dhaifu ya kutaka Kujitoa Uhai ( Kujiua ) kama ambayo inaonekana kwa Wanaume hiyo Roho si tu kwamba aliiweka bali aliigundisha kabisa na Super Glue kama si Gesi au Shaba ili isitoke milele?

Wanawake wote mliopo hapa JamiiForums ni kwanini na nyie hampendi Kujiua Kimapenzi kama ilivyo Kwetu Sisi Wanaume?
 
Sababu wanawake wengi mapenzi hayawakost chochote labda vipele tu vya kwenye mavuz sababu ya kunyoa Sana Ila mwanaume unaweza kuta alikua anamgaramia mwanamke kwa kila kitu kafanya kila jitihada ndiomana mwanamke akimuacha anachanganyikiwa na kinacho mpelekea kujiua Sio mapenzi moja kwa moja mda mwingine hua ni msongo wa mawazo anajiukiza kafel wap au anamapungufu au hajaweza kumridhisha mwanamke wake mwanaume anajiulizaga vingi Sana mpaka kupelekea kujiua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂Nimecheka sanaaaaa eti labda vipele vya kwenye mavuzi.naanzaje kujiua kisa bnadam tulojuana utu uzimani......ata si tunagharamia na tunaachwa vilevile na wanaume.ila tunaamini haikua bahat yangu😝.maisha yanaendelea
 
Kwakweli bado sijaona cha kunifanya nifikirie kujiua kwenye mapenzi!!
Mambo yakienda mrama si unamove on tu, yaan nikatishe uhai wangu niache starehe na raha zote za dunia hii eti kisa just a random guy kaniacha sjui kanisaliti😂😂 ni uchinga wa karne
 
Halafu usiwe unaweks mambo kiujumla ambaye anaweza kujiuwa kwa ajili ya mapenzi ni wewe pekee ,yaani nijitoe uhai kwa ajili ya mapenzi aisee ni ngumu itaniuma ndiyo lakini muda ni rafiki mkubwa tu siku mbili tatu hivi wiki ushasahu.
Kujiua ni uzembe na udhaifu wa hali ya juu.

《Caprichar o teu sorriso》
 
Kwa sababu ninyi ni mabingwa wa kuficha hisia zenu, hata mkiachwa mnajitia wagumu kama hamjali vile wakati mmeumia mpaka mwisho. Mlimcheka sana yule baharia wa Hamida ila ile ni tiba kubwa sana ( sijasema wote mlie na kujigaragaza topeni).

Sent using Jamii Forums mobile app
"Kujigaragaza topeni" kuna wadau wamekuelewa vibaya hapo hebu fafanua bibie, ni "TOPENI" kama topeni au ni "Topeni" kama kwenye matope ?

《Caprichar o teu sorriso》
 
Sababu wanawake wengi mapenzi hayawakost chochote labda vipele tu vya kwenye mavuz sababu ya kunyoa Sana Ila mwanaume unaweza kuta alikua anamgaramia mwanamke kwa kila kitu kafanya kila jitihada ndiomana mwanamke akimuacha anachanganyikiwa na kinacho mpelekea kujiua Sio mapenzi moja kwa moja mda mwingine hua ni msongo wa mawazo anajiukiza kafel wap au anamapungufu au hajaweza kumridhisha mwanamke wake mwanaume anajiulizaga vingi Sana mpaka kupelekea kujiua

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu nakuunga mkono upo sahihi kabisa. Na kwa kuongezea hapo, mwanamke yoyote at any time ana wanaume zaidi ya 10 wanaomsumbua kwenye simu, njiani, ofisini, nk wakimtaka kimapenzi. Kwahiyo wewe ukimuacha sawa anaweza kuumia roho lakini kitendo cha kujua kwamba anazo option nyingine nyingi tu tena za maana kuliko wewe, hua kinafuta kabisa wazo la kujidhuru. (Majibu ya wadada kwenye huu uzi ni uthibitisho)

Sasa shughuli ipo kwa mwenzangu na mie umepambana na kademu kako kamoja tu kama roho, umekafukuzia miaka saba mpaka kamekuja kukukubali kwa kukuonea huruma. Ili kasikuache maana unako hako hako kama roho, inabidi ujitutumue kukagharamia, kukasomesha, kukafungulia biashara na kukafurahisha kwa kila njia. BIG MISTAKE!! Mzee baba kakija kukupiga chini lazima uione dunia chungu na ukimbilie kujitoa uhai.

Ni ngumu sana kwa mwanaume mwenye wanawake kuanzia watatu na kuendelea kujiua eti kisa mmoja wao amemuacha.
 
Duh! Aiseee sjui tunakwama wapi wadau , yaani demu unahangaikia hivyo? Halafu bado ukiachwa unajiua? Naona kama haupo siriaz.

《Caprichar o teu sorriso》
 
Mkuu tembea uyaone.. watu wana invest time and resources balaa. Wakiachwa ni kujinyonga au uchizi chagua mojawapo
Kweli mkuu ila inavyoonekana wengi ni wale ambao unakuta mapenzi waliyachukulia ni ya kudumu na wakajitoa sanaa kumbe huyo mwanamke hajampa kipaumbele kiviiile , na hapo jamaa hana option B so anaona anaonewa ma dunia nzima .

《Caprichar o teu sorriso》
 
Back
Top Bottom