Mliozaliwa nje ya ndoa

Mliozaliwa nje ya ndoa

Samawia

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2017
Posts
592
Reaction score
466
Wengi wenu mnawachukia sana wazazi wenu wa kiume, kwa sababu mmejazwa sumu na mama zenu ila mama zenu nao wana madhambi yao tena makubwa waliyowafanyia baba zenu.

Mama yako ana mimba halafu anakuwa na kadi tatu za kliniki, kila kadi ina majina tofauti. Yaani wewe uko tumboni halafu una baba zako watatu. Sasa hao baba zako wakija kushtukia mchezo lazima wakimbie.

Hayo yote mama zenu hawasemi. Au ana mimba halafu anagonganisha wanaume watatu. Kama wote aliwaambia mimba ni yao kitakachofuata wote watatu wanaingia mitini halafu unakuja kuzaliwa wewe huna baba.

Ukiona mama yako anamponda sana baba yako hali ya kuwa alikuzaa wewe nje ya ndoa ujue mama yako mwongo alikuwa kicheche enzi zake. Asingekuwa kicheche asingezaa nje ya ndoa na ingetokea akazaa kwa bahati mbaya baba yako angemuoa.

TUJIHADHARI NA CORONA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie juzi juzi nimekataa mimba ya msichana.! Ujue wanawake ni wajinga sana sometimes, hivi anakujaje ghetto yupo kwenye ovulation phase halafu unamchapa kwa ndomu anakuambia hayuko kwenye danger then anasema eti alisahau na baadae mnakubaliana ameze dawa ya kuzuia mimba isitokee anaenda kuitupa anakuambia Mie nitazaa tu hakuna shida.

Sasa hivi ananilazimisha nianze kuhudumia ukizingatia mie nina majukumu mengi na kazi anajua najiegesha. Sasa juzi juzi alitaka aje home eti akae na mimi nikamwambia Haitatokea.

Kuna wanawake wenye hekima na busara ila kuna kundi la wanawake wasengerema sana hii dunia. Atapambana na hali yake, amjaze hizo sumu huyo mtoto ata amnyweshe kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie juzi juzi nimekataa mimba ya msichana.! Ujue wanawake ni wajinga sana sometimes, hivi anakujaje ghetto yupo kwenye ovulation phase alfu unamchapa kwa ndomu anakuambia hayuko kwenye danger then anasema eti alisahau na baadae mnakubaliana ameze dawa ya kuzuia mimba isitokee anaenda kuitupa anakuambia Mie nitazaa tu hakuna shida...
Aisee
 
Kama unadhani kuzaliwa ndani ya ndoa ndio kuwa na baba wa halali pole sana unaweza ukwa umezaliwa ndani ya ndoa na huyo asiwe baba yako halali ukikuwa ndio utajua.
Hiyo ni issue ya baba yako wewe haikuhusu,umeshawahi kumsikia baba yako akitilia mashaka uzao wako! then kamtafute wewe baba unayehisi umetoka kwenye kiuno chake, vukitaka kuamini haikuhusu kamuulize mama yako “eti mama huyu kweli ni baba yangu?”

atakachokujibu kitaiamsha akili yako kutambua kwamba hakuna duniani sheria ya binti kuzalia kwa baba yake bali akazalie kwa mumewe.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hiyo ni issue ya baba yako wewe haikuhusu,umeshawahi kumsikia baba yako akitilia mashaka uzao wako!then kamtafute wewe baba unayehisi umetoka kwenye kiuno chake,ukitaka kuamini haikuhusu kamuulize mama yako “eti mama huyu kweli ni baba yangu?” atakachokujibu kitaiamsha akili yako kutambua kwamba hakuna duniani sheria ya binti kuzalia kwa baba yake bali akazalie kwa mumewe.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
ww unadhani kwann vipimo vya DNA ni gharama kufanya ukijua hili usini Quote tena?
 
nawe ni miongoni mwa wajinga wanaomiliki vichwa vibovu ambavyo kufikiria vyema hutegemea hali ya hewa...

ni hivi asilimia karibu 85 ya watoto wanaozaliwa ndani ya ndoa ni watoto wa michepuko alafu ulivomjinga unaanzisha uzi ukiwa hujui lolote...

any way subir upepo ugeuze maybe utaweza fikiri vema ukatengua kauli
 
Mbona wewe mama yako amekuzaa akiwa ndani ya ndoa na baba yako sio aliyenae kwenye ndoa? Hajakiambia bado? Pole sana huyo sio baba yako tuulize tuliokuwa tunatumwa na mchepuko wa mama yako (baba yako).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nashukuru kwa taarifa,Nisaidie namba ya baba yangu mzazi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unadhani kuzaliwa ndani ya ndoa ndio kuwa na baba wa halali pole sana unaweza ukwa umezaliwa ndani ya ndoa na huyo asiwe baba yako halali ukikuwa ndio utajua.
Hata Mimi nina uhakika nimepewa baba feki kwa sababu nafanana sana na mzee mmoja jirani yetu, na ndugu zangu wote wanafanana na baba (yao). kwahiyo ulichokisema ni sahihi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nawe ni miongoni mwa wajinga wanaomiliki vichwa vibovu ambavyo kufikiria vyema hutegemea hali ya hewa...

ni hivi asilimia karibu 85 ya watoto wanaozaliwa ndani ya ndoa ni watoto wa michepuko alafu ulivomjinga unaanzisha uzi ukiwa hujui lolote...

any way subir upepo ugeuze maybe utaweza fikiri vema ukatengua kauli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umetaharuki mkuu, kunani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie juzi juzi nimekataa mimba ya msichana.! Ujue wanawake ni wajinga sana sometimes, hivi anakujaje ghetto yupo kwenye ovulation phase alfu unamchapa kwa ndomu anakuambia hayuko kwenye danger then anasema eti alisahau na baadae mnakubaliana ameze dawa ya kuzuia mimba isitokee anaenda kuitupa anakuambia Mie nitazaa tu hakuna shida...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ulipokuwa unakojoa uliona rahaa tu haya pambanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wenu mnawachukia sana wazazi wenu wa kiume, kwasababu mmejazwa sumu na mama zenu ila mama zenu nao wana madhambi yao tena makubwa waliyowafanyia baba zenu.

Mama yako ana mimba halafu anakuwa na kadi tatu za kliniki, kila kadi ina majina tofauti. Yaani wewe uko tumboni halafu una baba zako watatu. Sasa hao baba zako wakija kushtukia mchezo lazima wakimbie...
Wanawake bhana wanachekeshaga sana yan........akshakuwa single mom anakuwa muongo wa kufa mtu, mie nlizaa na binti bwana yan nilikoma, sio kwa mizinga hyo!!!! eti mtoto anaumwa kila wiki, mara mtoto wa kindergatten nilpie twishen, mie natumaga tu hela kumbe yote ni hewa.

Kuna njia moja tu ya kukomesha hawa watu, nlchokfanya mie nlienda kwao binti kumtolea mahari mwanangu wakakataa, nikawambia sawa ila yupo ajae nyuma yangu nadhan hashndwi vicase vidogovidogo kama hivi.

Nikaenda kwa babaangu nikamweleza kila kitu, mzee akasema nipe siku mbili mtoto ntamleta hapa nyumban, kweli kesho yake mzee safari akaleta mtoto nyumbani. Mtoto kaletwa hajui chchte khs shule wala hajawah ugua toka nimemchukua.
Nikakomesha ujinga wa huyo mwanamke kwa staili hyo.
 
Kiufupi tu wanaume mtoto hakataliwi, mtoto sio nguo useme ikiongeza miaka hupoteza thamani.

Wanaume wengi miaka hii wamekua na tabia ya kutelekeza watoto kwa kuwatupia lawama wadada Lakini ukweli Ni kwamba mnakimbia majukumu na baada ya miaka mtoto akikua huwa mnarudi kwa fujo kudai mtoto.

Nawahusia tu, wenye tabia hiyo mfanyayo sio Kama hutaki kuzaa basi usifanye mapenz ya kavukavu na mwanamke yeyote tu except yule uliye na uhakika nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamamke kuzalia mtoto nyumbani kwa baba yake ni aibu tupu subiri uolewe ukazalie kwenye mji wako na mume wako.

Hivi huwa mnashindwa wapi? Mbona kutwa kutujazia ma single mom mitaani ugumu upo wapi hapo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom