Mwanaume jitambue na uchukue hatua

Mwanaume jitambue na uchukue hatua

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,596
Reaction score
65,046
Kazi ya mwanaume ni kulea familia na kuhakikisha familia inapata mahitaji yote za lazima. Haya mambo ya kusema nataka nioe mwanamke mwenye kazi ili anirahisishie ugumu wa maisha ni sawa na kuukana uanaume wako.

Hata kama mwanamke ana kazi, pesa anazopata ni kwa ajili ya mambo yake binafsi na si kwa ajili ya kukulea wewe na watoto wako. Mwanaume kamili anaoa mwanamke na aoi kazi ya mwanamke.

We baharia pambania uanaume wako, hakikisha mke au mpenzi wako na watoto, pamoja na majukumu ya wakwe unayatatua ipasavyo...mambo ya kusema, mwanamke atumie pato lake kwa ajili ya majukumu yako ni sawa na wewe kuolewa. Chukua hatua...
 
IMG_20200428_140119.jpg
 
Mke akiwa na kazi inapunguza mzigo mkuu, hata kama unamuhudumia lakini siyo kwa upana huo.
Pesa yake hutakiwi kuipigia mahesabu mkuu, beba mabox,uza karanga,jibiidishe n.k ulee familia.kazi ya mke ni kukuzalia na kukufariji tu.
 
Kwani we ni ka demu? Shida ya nyie videmu tukiwachia pesa yenu mnaenda kuhonga mtombwe huko mitaani.
 
Back
Top Bottom