Kila akifika kileleni lazima anijeruhi

Kila akifika kileleni lazima anijeruhi

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,757
Naombeni ushauri wakuu

Shemeji yenu kila nikiwa nae kwenye mtanange namchavanga akifika kileleni lazima aning'ate, sasa sijui kwamba ndio anakuwa na hisia kali zaidi au inakuaje.

Nakumbuka juzi Jumapili wakati tunaenjoy, alipofika tuu katika kilele cha milima ya usambara alining'ata sikio mpaka sasa nina jera hapa.

Atakua ana matatizo gani ? Au ana mashetani ??
 
[emoji848][emoji848][emoji2][emoji2][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanunue yale manguo ya madaktari wa corona ujikinge na majeraha yanayoweza kuepukika

Jr[emoji769]
 
Sasa hivi mikikutana tena kiwanjani ni mvalishe mask tu utakuwa unamkinga na corona na pia unajikinga wewe mwenyewe na kung'atwa wakati huo huo.
 
samahani mkuu, ila ningependa kujua umejiwekea malengo ya kufikisha thread ngapi kwa siku, wiki, mwezi na mwaka.
 
Back
Top Bottom