Mke wa ndoa akichepuka bora umgeuze msukule upate hela

Mke wa ndoa akichepuka bora umgeuze msukule upate hela

Mgiriki MTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
330
Reaction score
273
Habari wana MMU,

Bila kupoteza muda nimeona njia sahihi ya kumkomoa mke mchepukaji ni kumgeuza msukule ili urudishe hasara ya kugongewa,Pia itakusaidia kuongeza kipato chako mwisho was siku Unakamata chombo kingine.

Sio mtu unahudumia halafu yeye anagawa tu papuchi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemkamata na nani huko? Mbona wanaume wanachepuka lakini hawafanywi misukule taratibu timiza majukumu yako utaheshimika tu, ila umenichekesha kwa sauti kubwa haaa haaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sina mke,ila nimeona hiyo ndio dawa yao!
 
Sipati picha nikijua mke wangu kagongwa nje..aisee hili swala halivumiliki,nitakuwa kama nimemeza tofali

Hivi kuna watu wanajua 100pc kuwa wamegongewa na wakaendelea kuwa na mkewe??
 
Sipati picha nikijua mke wangu kagongwa nje..aisee hili swala hilivumiliki,nitakuwa kama nimemeza tofali

Hivi kuwa watu wanajua 100pc kuwa wamegongewa na wakaendelea kuwa na mkewe??
Wanaume wanaolelewa watakuwa wanavumilia ila sie marijali haivumiliki.
 
Sku hz wake za watu wengi wanagongwa nje,tena wengne mpaka wanatongoza wanaume,mwanamke wa kumfanya msukule ni yule anaegombea mwanaume wa nje wakat ameolewa
 
Kwa Mwanaume Makini na anayemjua Mungu hawezi kuchangia huu uzi( ujinga) ikiwzekana aukosoe au kuipinga ,haijalishi unsalitiwa vip lakini utu ubaki kuwa utu tuu.

Unless kama Mwanaume hacheat basi ni bora ukaachana nae au ukapita hivi ila utu ubaki kuwa utu tuu.

pujo karibu
 
Sipati picha nikijua mke wangu kagongwa nje..aisee hili swala halivumiliki,nitakuwa kama nimemeza tofali

Hivi kuna watu wanajua 100pc kuwa wamegongewa na wakaendelea kuwa na mkewe??
Hilo mbona dogo kuna staff mwenzangu analea mimba sio yake na yy mwnyw anajua kbsa maana mkewe huwa anatoka anaenda kukaa kwa mabwana zake huko anachapwa nao hata mieiz miwil mitatu afu anarudi...jamaa hana jinsi maana kaoa ndoa ya kikristu!! Na yy ni mwimba kwaya mzuri sana pale st.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom