Mama/Shamba Boy Vs Baba/House Girl

Mama/Shamba Boy Vs Baba/House Girl

Akili Pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
617
Reaction score
854
Wakuu Habari.

Naomba kuuliza hii kitu kwa wenye tajiriba juu ya hili tatzo la baba au mama kutoka nje ya ndoa kwa kutembea na wafanyakazi wao wa ndani aidha Shamba Boy na House Girl.

Ni Couple ipi hapo huweza kuwa na siri sana???
Ni Couple ipi hapo huweza kudumu kwa mda mrefu?
Ni Couple ipi hapo huweza kubebeshana mimba? Maana kuna nyumba niliwah kuona mtoto anafanana na blaza wa kazi ndani mule.

Karibuni wakuu tujadiliane hii mada inawea kuleta moja mbili tatu ambazo zinaweza kumsaidia mwanandoa hasa kipindi hiki cha Karantiiini.
Abiria chunga mzgo wako.
 
Back
Top Bottom