Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nasoma Chuo Degree Mwaka wa Pili, kuna binti mmoja mama yangu alinambia ni mzuri ana tabia nzuri, sema mimi nikawa napotezea sikuwa na haja hiyo. Siku moja...
Utaratibu wa kuwasha na kuzima mishumaa pamoja na ukataji wa keki umekuwa ni wakawaida kwa muda sasa. Ningelipenda kuuliza kwa watakao kuwa wana ufahamu juu ya hili suala.
Nini maana yake?
Na...
Wajamani namshukuru Mungu, kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu...
Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye...
Mahusiano yana gharama sana, kama hauko tayari kubeba hizo gharama ni bora usiingie kwenye mahusiano. Na hizi gharama zinajitokeza pale mmeshakuwa wawili ama mmeshazoeana vya kutosha. Na hizi...
Habari zenu wadau, Happy New Year
Siku hizi kuna kamtindo ka wadada maeneo mbalimbali ya Tz mfano hata hapa Dar hupendelea kuvaa pete lakini pete hiyo ukiichunguza unakuta si ya ndoa inafanana...
Asanteni kwa haya.
1. Mmenichagulia gauni zuri la maids .
2. Mmenipa support siku zote hizi kwa ushauri na mengine.
3. Nawatakieni amani na furaha.
Leo ninafuraha nimepewa visa ya Finland katika...
Wakati mwingine, wazazi tunapata wasiwasi juu ya maisha ya baadae ya watoto wetu kwamba watakuwa na maisha ya aina gani? Watakuwa watu wazima wa namna gani? Hivi watafanikiwa kielimu? Biashara...
Kama kuna kitu nisichokusahau n weee COVID-19. Mwanzoni ulipopiga hodi africa wanawake hasa wanandoa walifyrahia sana. Wapo waliofurahia kutuona waume zao wakibaki nyumban mdawote. Wapo...
MEI 10, 2020: HERI YA SIKU YA MAMA
Siku ya Mama husheherekewa kila Jumapili ya pili ya mwezi Mei kwa ajili ya kuwapa heshima wanawake wote waliobahatika kuitwa mama kwa kuzaa ama kulea watoto...
Sure: ata ukiwaambia wachache wataishia kukuhurumia tu!, na wengi hawatojari kabisaa. Haitokusaidia ukiwaeleza umewahi kutoa mimba mara nyingi
Haitokusaidia ukiwaeleza huna uwezo wa kumpa...
Wakuu Mimi ni muajiriwa Nina miaka 8 kazini,
Wakati naanza kazi wazazi wangu hawakuwa na makazi bora hivyo nimekaa muda nikaamua kuwajengea nyumba bora japo Mimi sijajenga ya kwangu bado...
Wanajukwaa niseme tu ukweli.
Mwenzenu hali niliyoifikia ya kimaisha ya kuhusu uchumi,majukumu na mapenzi ni ngumu sana.Yani mambo hovyo hovyo yanaenda. Ni siku 3 Sasa kula nashindwa, kichwa muda...
Ilibidi nikatize zoezi nisije shitakiwa na kwa kosa la mauaji. Kabla ya hapo niliulizwa “nimejifunzia wapi?”
Tafadhali wakuu wazoefu, nini maana yake? Je, hatua niliyochukua ni sahihi?
Inanipa shida nina miaka 26, mwanaume anayenipenda ana 24. Hii ya mara tatu sasa namkatalia lakini hachoki anaonesha malengo na mimi anasema umri sio tatizo ila kimaumbile yeye mwanaume ana mwili...
Ndugu zangu Nina mwanamke wangu huyo ni full mjeuri mkigombana kidogo anaweza kukuchunia mwezi mzima au week nzima hajibu sms zako, hapokei simu zako na hata akipokea simu zako au akijibu meseji...
Wazazi wangu wamekuwa wakimsifia X wangu kwamba tuliendana kwa kila kitu. Tulikuwa na uchumba wa miaka saba, alifanikisha kutoa barua tu na naambiwa kuwa hata kama yeye ndo aliyeniacha lakini bado...
Wanabodi habarini, ninahtaji msaada wa ushauri kwa experienced people whether wamefanya au ona kwa macho au wenye kuwa na uzoefu
Kumekuwa na mazoea ambayo baadhi yetu yanasokota mioyo yetu hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.