Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika visa vingi nilivyoletewa, hii ya Pastor na Muumini imenichekesha zaidi Kisa chaenda hivi: Muumini: Pastor nimekuja kwako, najua nimekaa hapa kanisani Miaka 15 tangu nikiwa na Miaka 20 na...
8 Reactions
82 Replies
6K Views
Juna kiumbe wangu flani nataka nimsaplaizi na zawadi siku ya birthday yake. Naomba kujua ni Zawadi gani nzuri Romantic ya kumpatia mpenzi siku ya birthday yake. Isiwe ya gharama eg, gari, Nyumba...
4 Reactions
36 Replies
20K Views
Habari wanaJF Nisizunguke sana,What's the one song you played or must play on your Wedding Day? Karibuni..
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Nimetia kampuni hasara ya zaidi ya milioni tatu na natakiwa kuzilipa haraka iwezekanavyo.. Ukilinganisha na kipato changu nahisi labda baada ya miaka miwili ndo ntamaliza. Nimerudi nyumbani...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu Mimi Ni kijana mwanachuo (20-24) ndo umri wangu Takribani miezi mitatu imepita tokea niachwe na mwanamke niliempenda kwa dhati Nimepata shida kumsahau ingawa kidonda ndio...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau wa JamiiForums nilikuwa katika wakati mgumu majuzi kati hapa thats why sikuwa active kwa nyuzi za watu huku ndani lakin ukimya umenifanya nimegundua kitu. Kwa mawazo yangu nimepata swali...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kila jambo lina pande mbili, upande wa uzuri na upande wa ubaya, lakini katika kufanya maamuzi basi ni vyema kuegemea upande wenye mazuri zaidi kuliko mabaya. Kuchepuka ni aina nyingine ya...
4 Reactions
68 Replies
11K Views
Yani tangu nianze kueleza matatizo yangu humu nimebahatika kumpata mkaka mmoja tu ambaye alikuwa kidini zaidi nilifurahishwa nae sana alinitia nguvu sana ya maisha ila wengi wao jamani wakiomba...
8 Reactions
65 Replies
5K Views
Mwanaume mmoja alimuoa mwanamke mrembo. Alikuwa akimpenda sana. Siku moja mwanamke alipatwa na maradhi ya ngozi. Kidogokidogo alianza kupoteza urembo wake. Mume alipata safari na wakati akirudi...
27 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari gani wanajamvi wenzangu..! Natumaini siku ya ya leo Jumapili imeenda vyema. Na mapambano dhidi ya corona yanaendelea na tuukaribu kumshinda huyu adui asiyeonekana. Hivi kwanini wazazi wetu...
20 Reactions
30 Replies
3K Views
Wengi wanalalamika kuumizwa au kutwenda na wapenzi wao kwa kuoa au kuolewa na wapenzi wengine. Kwa yule anayehitaji ndoa siriazi hata ndani ya wiki hii. Fanya yafuatayo:- tafuta jobless yeyote...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana JF Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati. Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na...
57 Reactions
514 Replies
54K Views
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Kama wengi wetu tujuavyo, Ndoa ya kwanza ilifungishwa pale Edeni na Mungu mwenyewe. Na ilikuwa ndoa takatifu, iliyobeba msingi na dira ya ndoa nyingine...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Kuna wanawake wamejaliwa matako wakakosa kiuno. Kuna waliojaliwa kiuno wakakosa tako. Na Kuna wanawake wenye kuringia matako sasa alooooo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]yani...
18 Reactions
88 Replies
13K Views
Binafsi sitasahau Siku moja wakati namvalisha mwanangu akiwa na Miezi 3 baada ya kumuogesha nilishangaa maziwa yanatoka puani na mdomoni na hapo hapo mtoto akawa hawezi kupumua vizuri. Nilipaniki...
7 Reactions
57 Replies
10K Views
Habari wakuu Niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa mwàka mzima sasa na tulikuwa tunaishi kama mke na mume ila kiukweli mimi kipato changu kidogo sana na muda wote huo tumeishi kwa furaha na...
6 Reactions
121 Replies
13K Views
Natumai hamjambo wakuu Jana nilikua naongea na dada angu kwa simu, katika mazungumzo nikatia utani kidogo, dada angu ulivyo mzuri hivyo ilikuaje ukaolewa na sura ngumu vile? Akajibu ukiwa na...
9 Reactions
83 Replies
7K Views
Jamani machungu yangu hayaelezeki, hii naomba mjifunze hata nyie mlioko kwenye mahusiano. Usizae kama hujafunga ndoa yamenikuta naitwa single mother sasa hivi bila kupenda mwanaume alinionesha...
13 Reactions
104 Replies
8K Views
Ndugu msomaji, pole kwa shughuli na pilika pilika za kila siku katika harakati za kulizungusha gurudumu la maisha. Awali ya yote napenda kuwaletea mada ambayoitakuwezesha kumtambu mwanamke...
10 Reactions
67 Replies
46K Views
Wakuu nauliza tu kama una binamu wa kike mkali sana anaonyesha dalili za kukutaka kimapenzi, ni sahihi kuwa naye kimapenzi hau? Maana kuna binamu yangu hapa kazidi mazoea nataka kuwa naye
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…