Muumini agombana na Pastor juu ya kukosa kuolewa

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Katika visa vingi nilivyoletewa, hii ya Pastor na Muumini imenichekesha zaidi

Kisa chaenda hivi:

Muumini: Pastor nimekuja kwako, najua nimekaa hapa kanisani Miaka 15 tangu nikiwa na Miaka 20 na sasa Nina Miaka 35

Pastor: ndio Mpendwa kwani kuna shida?!

Muumini: IPO kubwa na nataka nikufungulie mashtaka Mahakamani.

Pastor: kwanini?!

Muumini: Pastor Miaka yote 15 uliniambia Mungu amekuonyesha kuwa nitaolewa. Nikiwa na Miaka 20 uliniambia naolewa ndani ya Miaka 2, nikafika Miaka 22 ukasema naolewa ndani ya Miaka 3 Yule aliepaswa akupe ameanguka dhambini Mungu anakubadilishia.

Nimevumilia mpaka nimefika Miaka 25 bado nipo singo. Nikaingia Miaka 28 hata wakuniambia mambo au habari sijapata
Nikatua Miaka 30 bado nipo singo. Sasa Nina Miaka 35 sina mtoto, ndoa, mume wala nini. Niambie wewe Pastor unatumia na Mungu au unamapepo?!

Kwanza sadaka nimetoka nyingi Sana na umenidanganya vya kutosha bila matokeo yeyote ya ndoa wala kuwa na familia yangu. Sasa Mimi nakupa wiki 2 Tu, ujipange nakupeleka mahakamani Kwa kuwa mwongo. Kama hutaki niende mahakamani nataka unirudishie sadaka zangu zooote zabmiaka 15 niliokaa hapa kanisani Kwa uaminifu kuanzia fungu la 10 mpaka sadaka za kawaida za kupenda. Umenidanganya mpaka nimepauka, sasa hivi Jioni Nani atanipa nimeshakuwa MTU mzima?!

Pastor: akajaribu kumbembeleza hapo lakini Muumini amekomaa hataki kusikia, anataka arudishiwe hela zake zote kama Pastor Hana pesa za kurudisha ajiandae na jela

Ndio nipo na Muumini hapa ananipa Stori, Mimi mbavu sina, Ananiambia ijumaa hii ndio wiki ya pili, mwanasheria wangu atamfuata kumwita mahakamani, kesi nishafungua.

Eti unamsaidiaje muumini, amsamehe Pastor au ampeleke mahakamani, maana anaumia kweli hapa mpaka analia, ndoa kaikosa na sadaka zake hajarudishiwa 🙄
 
Mmmmm; mtihani kwa pastor.
Ila angekuwa Gboy angefanya yake kama kawa.
Mshauri je endapo atapewa hizo fedha atakuwa amemaliza shida zake?
Sara, mama yake samweli kwenye biblia wote walipata watoto umri umeenda. Azidi kumwomba Mungu asikate tamaa.

Sent using myLG leon
 
Miaka 15 kamwomba Mungu na Mungu hajampatia anaomba nini tena?! 🙄
Akipewa hela mingi kupata bwana NI DK 0
 
Katika visa vingi nilivyoletewa, hii ya Pastor na Muumini imenichekesha zaidi

Kisa chaenda hivi:

Muumini: Pastor nimekuja kwako, najua nimekaa hapa kanisani Miaka 15 tangu nikiwa na Miaka 20 na sasa Nina Miaka 35

Pastor: ndio Mpendwa kwani kuna shida?!

Muumini: IPO kubwa na nataka nikufungulie mashtaka Mahakamani.

Pastor: kwanini?!

Muumini: Pastor Miaka yote 15 uliniambia Mungu amekuonyesha kuwa nitaolewa. Nikiwa na Miaka 20 uliniambia naolewa ndani ya Miaka 2, nikafika Miaka 22 ukasema naolewa ndani ya Miaka 3 Yule aliepaswa akupe ameanguka dhambini Mungu anakubadilishia.

Nimevumilia mpaka nimefika Miaka 25 bado nipo singo. Nikaingia Miaka 28 hata wakuniambia mambo au habari sijapata
Nikatua Miaka 30 bado nipo singo. Sasa Nina Miaka 35 sina mtoto, ndoa, mume wala nini. Niambie wewe Pastor unatumia na Mungu au unamapepo?!

Kwanza sadaka nimetoka nyingi Sana na umenidanganya vya kutosha bila matokeo yeyote ya ndoa wala kuwa na familia yangu. Sasa Mimi nakupa wiki 2 Tu, ujipange nakupeleka mahakamani Kwa kuwa mwongo. Kama hutaki niende mahakamani nataka unirudishie sadaka zangu zooote zabmiaka 15 niliokaa hapa kanisani Kwa uaminifu kuanzia fungu la 10 mpaka sadaka za kawaida za kupenda. Umenidanganya mpaka nimepauka, sasa hivi Jioni Nani atanipa nimeshakuwa MTU mzima?!

Pastor: akajaribu kumbembeleza hapo lakini Muumini amekomaa hataki kusikia, anataka arudishiwe hela zake zote kama Pastor Hana pesa za kurudisha ajiandae na jela

Ndio nipo na Muumini hapa ananipa Stori, Mimi mbavu sina, Ananiambia ijumaa hii ndio wiki ya pili, mwanasheria wangu atamfuata kumwita mahakamani, kesi nishafungua.

Eti unamsaidiaje muumini, amsamehe Pastor au ampeleke mahakamani, maana anaumia kweli hapa mpaka analia, ndoa kaikosa na sadaka zake hajarudishiwa 🙄
Hawezi kushinda kesi kwani hakulazimishwa kujiunga na hilo kanisa. Pili michango na sadaka ni hiyari hawezi kuidai arudishiwe. Tatu hakuna mkataba walioandikishiana kuwa alipe pesa na yeye atapata mume. Mwisho wa kesi huyo dada ndiye atalipa gharama za kesi na za wakili wake, hivyo atapata hasara mara mbilu.

Wajinga ndio waliwao.
Kanisa la kweli la Kristo ni moja tu nalo ni Katoliki mengine ni njaa binafsi za waanzilishi au kurubuniwa na shetani.
 
Back
Top Bottom