Je, ubahili na mapenzi vinapatana?

Je, ubahili na mapenzi vinapatana?

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
622
Reaction score
822
Wadau wa JamiiForums nilikuwa katika wakati mgumu majuzi kati hapa thats why sikuwa active kwa nyuzi za watu huku ndani lakin ukimya umenifanya nimegundua kitu.

Kwa mawazo yangu nimepata swali hivi mapenzi na ubahili vinapatana?
 
Sasa kuna ubahili na kuna kupenda matumizi makubwa kwa upande mwingine/me au ke.

Yaani inawezekana nikawa sio bahili ila parter wangu akawa ni mpenda mambo makubwa zaidi ya uwezo wangu,obvious ntaonekana bahili tu wakati sio kweli bali ni kwamba sina uwezo.

But kama ni matumizi ya kawaida tu na nikagoma kuhudumia ntakua ni bahili
 
Kama ni ubahili kwa manufaa ya mapenzi, naam vinapatana.

Usiniulize ni ubahili gani huo.
 
Sasa kuna ubahili na kuna kupenda matumizi makubwa kwa upande mwingine/me au ke.
Yaani inawezekana nikawa sio bahili ila parter wangu akawa ni mpenda mambo makubwa zaidi ya uwezo wangu,obvious ntaonekana bahili tu wakati sio kweli bali ni kwamba sina uwezo.
But kama ni matumizi ya kawaida tu na nikagoma kuhudumia ntakua ni bahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikutana na mpenzi mpenda anasa hats ujitoe kiasi gani hawezi kuridhika na utaitwa bahili!..
Kuna mtu anaweza kuwa na matumizi makubwa kuliko kipato cha mpenzi wake hivyo kuitwa bahili ni kawaida sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ubahili haupendezi , mwanaume ukiwa mbahili unakua mbaya sijui unakuaje kuwaje
 
Binafsi mwanamke asininyime CHIU pesa yangu ataifaidi vilivyo
 
ubahili haupendezi , mwanaume ukiwa mbahili unakua mbaya sijui unakuaje kuwaje

Huna sababu yoyote ya kuwa na pesa na mpenzi wako akawa anapata tabu kama vile humuoni. Sijasema utoe pesa hata kwa mambo yasiyo na msingi lakini at least utimize majukumu yako kwa mpenzi wako kila unapohitajika. Kuna vitu vingine hata huhitaji kuambiwa kama unatakiwa kuvishughulikia, ni wewe mwenyewe tu kuwa responsible kumhudumia mpenzi wako. Na hii huwa ina-apply sana kwa wavulana kutokana na kasumba iliyojengeka na mila walizozikuta wakati wa malezi yao.
 
ongeza sauti.
Volume ifike 1000 Kuna watu hata majukumu tu ya kawaida hawataki , hata upate tabu iwe dhiki anakutazama tu anafanya yake sasa ubahili wa namna hio kweli jamani?
Huna sababu yoyote ya kuwa na pesa na mpenzi wako akawa anapata tabu kama vile humuoni. Sijasema utoe pesa hata kwa mambo yasiyo na msingi lakini at least utimize majukumu yako kwa mpenzi wako kila unapohitajika. Kuna vitu vingine hata huhitaji kuambiwa kama unatakiwa kuvishughulikia, ni wewe mwenyewe tu kuwa responsible kumhudumia mpenzi wako. Na hii huwa ina-apply sana kwa wavulana kutokana na kasumba iliyojengeka na mila walizozikuta wakati wa malezi yao.
 
Huna sababu yoyote ya kuwa na pesa na mpenzi wako akawa anapata tabu kama vile humuoni. Sijasema utoe pesa hata kwa mambo yasiyo na msingi lakini at least utimize majukumu yako kwa mpenzi wako kila unapohitajika. Kuna vitu vingine hata huhitaji kuambiwa kama unatakiwa kuvishughulikia, ni wewe mwenyewe tu kuwa responsible kumhudumia mpenzi wako. Na hii huwa ina-apply sana kwa wavulana kutokana na kasumba iliyojengeka na mila walizozikuta wakati wa malezi yao.
Pata kinywaji baridi unachotumia bill kwangu mkuu


Kingsmann

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom