Natafuta mwanamke aliye tayari kwa serious relationship

Mtu na nusu

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
636
1,115
Habari zenu wakuu

Mimi Ni kijana mwanachuo (20-24) ndo umri wangu

Takribani miezi mitatu imepita tokea niachwe na mwanamke niliempenda kwa dhati

Nimepata shida kumsahau ingawa kidonda ndio kinaelekea kupona

So mwanamke yeyote (18-27 ) Aliye serious ani-PM tupeane contact

I really need a kampan
 
Mdogo wangu salama

Pole sana, lakini una haraka ya nini na hayo mapenzi?!

Huu muda utumie kwenye kusoma tu na kufanya shughuli zako za kuingiza pesa. Bado una muda mwingi sana huko mbele wa kuenjoy hayo mapenzi.

Kwa rika hilo utakutana na wale chips kuku, watakuumiza na kukutesa. Pia Changamoto za mimba umejipanga nazo vp?

Chakufanya tafuta mdada wa kujipigia kitaa ambaye hana mambo mengi (Tabaka la chini)
Uendelee kujiliwaza taratibu. Usisahau jabulane kwenye kila zoezi.

Shukrani
 
Umri wako ni chini ya miaka 25, unatafuta mwanamke wa miaka 27. Usije kulia humu yakikutokea ya nuh mziwanda.
 
Ila wabongo huwa tunakosea sana mda mwingine (hata mimi).

Mtu anatafuta mpenzi watu wanakuja kumpa ushauri kuhusu mapenzi na maisha.
 
Ngoja waje, kuna plenty of them in JF.....They are Single and ready to Mingle
 
Back
Top Bottom