Je, ananipenda huyu mwanamke?

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
237
323
Wakuu habari za siku ndugu zangu wanaJamiiForums?

Natumahi mu wazima kabisa? wanachuo wenzangu nawakumbusha siku ni chache turudi katika pilika pilika la kusaini boom,

Wakuu niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna mwanamke mmoja ni mwanachuo pia kama mimi, sasa tumekuwa na mazoea ya mbali sana kama rafiki tu, ila wiki 2 zilizopita kuna tabia kaianza ambayo inanipa wakati mgumu sana, anaweza akakutumia sms ya asubuhi njema ukimjibu na kutaka kuanza kuchat nae anakaa kimya, jioni tena atakuaga usiku mwema, sasa ukimjibu na kutaka labda uchati nae hajibu kabisa sms, sasa na mimi nikajaribu kumchunia siku3 zilizopita za kutojibu sms zake, chaajabu juzi kanitext anadahi nimebadirika nikamwambia hamna mbona ww nikikujibu sms zangu unakaa kimya kama hautaki kuchat na mimi?

Anadai ooh mda huu nipo bussy mara ooh usinihisi vibaya nikasema poa sasa kila siku tu yeye ni wa sms za asubuhi njema na usiku mwema basi, ana stori zozote zaidi ya uck mwema na asubuhi njema, sasa hii kitu imenichosha sana, nashindwa kumuelewa ana maana gani?

Kuna siku nilimpigia alijivuta sana kupokea japo alipokea ila alikatisha maongezi yaani unaongea nae dk3 anaanza kusema nitakucheki baadae lakini akutafuti zaidi tu ya kukutumia sms za uck mwema,

Wakuu nipeni ushauri nifanyaje?
 
What can we say?

Make the most of the mornings and the nights for they already have good wishes on them. Mwache aombee asubuhi zako na usiku wako, we fanya mambo mengine kama vile kusoma? Hasa hasa kwa hizo nyakati anazoombea...
 
What can we say?
Make the most of the mornings and the nights for they already have good wishes on them. Mwache aombee asubuhi zako na usiku wako, we fanya mambo mengine kama vile kusoma? Hasa hasa kwa hizo nyakati anazoombea...
sawa mkuu
 
HAMNA MAPENZI HAPO WEWE..... JIONGEZE

WATU WALIO SERIOUS NA MAPENZI YAO WANAWAZA FUTURE NYIE MNABISHANA NANI AANZE KUTUMA GOOD MORNING, AFTERNOON NA NIGHT? NA KUNUNIANA MNANUNIANA? WHAT THE....!
 
Acha ujinga wa kuwa na demu mmoja. Huyo usimpotezee wala usimharakishe. Hakikisha unazo namba hata tano kumi za mademu tofauti ucheze nao . Wanawake wanayachukulia maisha as a Game. Nenda nao.

Katika hao kumi huwezi kukosa hata watatu wakukupa attention. Usiwe mwepesi kudata kama hapo kwa icho kitoto.

Play the Game. Enjoy it. Play it Safe.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom