Namna mbalimbali za kuchezea Condom

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Ukiwa unaakili zako timamu!

Unapita pharmacy! Unanunua zako condom! Unaweka mfukoni!

Unaelekea zako lodge! ! ! !

Unapima kwa macho, Unajipa majibu negative!!! Unapiga kavu kavu ..Unaunganishwa kwenye gridi ya taifa....halafu Kisha Unachukua Ile Condom yako unaitupa kwenye dustbin!!!

UNASEPA ....
 
Huwa nina kawaida ya kupima kabla sijagegeda, miezi miwili iliyopita demu mmoja alinigomea kumpima na kwa jinsi alivokuwa mzuri nikajikuta namgonga nyamanyama kesho yake mpaka leo hii nimekuwa mtu wa hofu sana ninapowaza kupima
 
kipi kilikufanya upige nyamanyama! ebu Shea kidogo, ulichokiwaza hadi ukaamua kupiga kavu
 
Ukiwa unaakili zako timamu!

Unapita pharmacy! Unanunua zako condom! Unaweka mfukoni!

Unaelekea zako lodge! ! ! !

Unapima kwa macho, Unajipa majibu negative!!! Unapiga kavu kavu ..Unaunganishwa kwenye gridi ya taifa....halafu Kisha Unachukua Ile Condom yako unaitupa kwenye dustbin!!!

UNASEPA ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuja siku moja nilikuwa na demu ghetto. Sasa nimeshika condom yangu nataka niichane niivae. Demu akaichukua akaitupa kwenye dustbin. Kiukweli niliishiwa nguvu tena mtoto yule alivyo alivyo mshenzi akani nong'oneza, "baby condom ya nini bana" . Usijali me niko mzima kabisa.
Basi bana nikapiga kavu maana ukisema ukaichukue unajiuliza sijui atanionaje.
Ila nilivo ingia bafuni kuoga nikawa nasema sijui nisha ungua . Ila Mungu mkubwa bana.
Haya mambo kiukweli Mungu ndo anatunusuru.
Ukiwa unaakili zako timamu!

Unapita pharmacy! Unanunua zako condom! Unaweka mfukoni!

Unaelekea zako lodge! ! ! !

Unapima kwa macho, Unajipa majibu negative!!! Unapiga kavu kavu ..Unaunganishwa kwenye gridi ya taifa....halafu Kisha Unachukua Ile Condom yako unaitupa kwenye dustbin!!!

UNASEPA ....

Baba Ako
 
Nipe nami mautundu namna ya kupima mm mwenyewe nataka kuanza kuosha rungu
Huwa nina kawaida ya kupima kabla sijagegeda, miezi miwili iliyopita demu mmoja alinigomea kumpima na kwa jinsi alivokuwa mzuri nikajikuta namgonga nyamanyama kesho yake mpaka leo hii nimekuwa mtu wa hofu sana ninapowaza kupima
 
Nipe nami mautundu namna ya kupima mm mwenyewe nataka kuanza kuosha rungu
Pima kwanza ujue status yako

Kisha ukitaka kugegeda nunua HIV home test kit unampima na wewe unajipima ili hata akija kunasa miwaya baadae baada ya kupuyanga na wanaume wengi akutoe kwenye list yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom