Inakuchukua siku ngapi kufuta namba za simu za mpenzi wako mlieachana?

Zero Competition

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
310
451
Habari zenu wadau

Kawaida tunapoachana na wapenzi wetu huwa tunafuta namba zao za simu na kuwablock kabisa kwenye account zetu za social media

Binafsi huwa nikigombana na mwenzi wangu na tukachuniana zaidi ya siku mbili ikifika siku ya tatu huwa nafuta kabisa namba yake ya simu mana huwa nimejiandaa kuachana nae mazima endapo tu hatanicheki yeye mwenyewe na hii nafanya endapo yeye ndie alienikosea.

Je, wewe huwa inakuchukua siku ngapi kufuta namba za aliekua mpenzi wako mara baada ya kugundua kwamba mapenzi kati yenu yameisha?
 
Ungeuliza sekunde ningekujibu!

Ngoja tuwaache wa siku kadhaa huu ndo uwanja wao..

Pimbi kabisa hivi inakuwaje unachukua siku.. nilitaka niwaache lkn kenge wa kenge ndani yangu kasema haiwezekani
Sekunde zinatosha kufuta namba acheni uzwazwa..
 
Sasa kama haupo naye namba niitunze ya nini? Hapo hapo najua itakuwa kichwani hivyo akipiga tu najua kirusi hicho napotezea
 
Back
Top Bottom